Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

na bado inakuja JAMBOJET FEBRUARY DARMWANZADAR 65,000 KWENDA NA KURUDI JRO KAMA UTAKUWA HAI NTAKUJULISHA MUDA UKIKARIBIA STAY TUNED
 
Hivi safari zake zile ATCL wangekuwa wamenunua ndege ngapi ambazo zingetoa huduma sehemu kubwa ya Tanzania?!

Wizi wanamanufaa? iba mpaka ufe, hutafanikiwa kwa wizi.

ATCL walioiuwa kina nani kama si Watanzania wenyewe waliopewa madaaraka ya kuiendesha? kuna kipi ambacho Watanzania hawajakiua na wanacho cha kujivunia? Wizi mtupu!
 
Tunataka kutumia TWIGA wewe na si hizi ndege zenye namba kubwa kubwa kama wakimbia riadha kifuani.

Tunataka Air Tanzania, Tanzania Railways Corporations, nk na zikiwa chini ya Watanzania wazawa.

Hii haihitaji uende safari yoyote zaidi ya kutumia kichwa kwa matumizi mengine mengi zaidi ya kufugia nywele.

Walioziuwa kina nani?
 
Precision Wame-resume safari kupitia kampuni ya Galaxy kule Comores na si JK....Yeye JK anamfahamu rais wa Comores tu na si vingine wala kibiashara.

Nyerere alikuwa hamfahamu Rais wa Comoro wa enzi hizo? mbona hatukuona biashara zikiendelea na tumeona zikifa tu wakati wake?

Kwanza wafanya biashara aliwapachika jina "mabepari". Hapo sasa! akataka kuwaaminisha watu kuwa utajiri ni mbaya, eti akawa anawatisha kwa kuwaambia biblia inasema tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu ya sindano.

Duhhh! Kiko wapi?
 
....Jamani kuna kahali wameandika Kikwete ndo atalipia abiria wote nauli au la....???? Mi sijaelewa Kikwete anahusishwaje hapa, aarghh!!

Hujui mabadiliko ya uchumi yanasimamiwa na nani? mbona hatukuyaona haya wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa?
 
Enzi hizo, wewe ulikuwa unatoka kamasi puani. TV zenyewe alikuwa nazo Bakhresa tu. Leo unaongelea watu kuwa na ndege enzi hizo?
Nyerere alikuwa hamfahamu Rais wa Comoro wa enzi hizo? mbona hatukuona biashara zikiendelea na tumeona zikifa tu wakati wake?

Kwanza wafanya biashara aliwapachika jina "mabepari". Hapo sasa! akataka kuwaaminisha watu kuwa utajiri ni mbaya, eti akawa anawatisha kwa kuwaambia biblia inasema tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu ya sindano.

Duhhh! Kiko wapi?
 
Enzi hizo, wewe ulikuwa unatoka kamasi puani. TV zenyewe alikuwa nazo Bakhresa tu. Leo unaongelea watu kuwa na ndege enzi hizo?

Bakhresa kaanza kuiona TV zanzibar kabla hajaja huku. Unajuwa kuwa Zanzibar ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuwa na TV ya rangi katika Afrika?
 
Yaani watanzania tuna matatizo.Hiyo ndege imeingia na bei zake mara wadu wansema wanataka kututoa kafara, ooh wanatudnganya.Na ingekuwa ghali tungesema wakapande wenyewe na maneno chungu nzima.Hivi tunataka unafuu wa namna gani?
 
POMPO nakubaliana na wewe kabisa. Watanzania siku zote wanaonaga air travel ni more expensive kuliko kwa basi. Totally wrong. Watu wengi hawajui hii industry na faida zilizopo. Few airlines the mention of Precision Air wamekuwa wakidominate sana anga hapa Tanzania na kuwafanya tabaka lenye nazo kutumia aina hiyo ya usafiri zaidi kuliko watoto wa mbagala na tandale. In reality ulaya na America, usafiri wa ndege uko more affordable kuliko usafiri mwingine wowote.
Fanya research yako vizuri kuna kampuni ya ndege inaitwa Ryannair, jamaa wana low fares kinoma na so far ndo the leading airline company ambayo inatengeneza faida kuliko makampuni mengi ya ndege duniani.
I would tell you few reason, jamaa wameondoa cost ambazo sio necessary kwenye ndege kama catering na vikolombwezo vingine vidogo vidogo vinavyofanya operating cost kwenda juu sana.
With the coming of FN (Fastjet) i believe PW (Precision Air) lazima wa style up.
This thing is real and its workable. Trust me. I have been in this industry at least I can guarantee you the feasibility of this.
61199_454960831206300_1347641752_n.jpg

Habari ndo hiyo
 
Mkuu Zomba nani anaweza kununua gari jipya kama sio serikali pekee
wachaga na mitumba yao lakini bado wako juu kimaendeleo
na wao wanaringishana kwa maendeleo tofauti na wengine ukijenga wanakupeleka gamboshi fasta
nani tena apande youtong za garama wakati ndege ipo ya garama nafuu?

Josefina
 
Kaka hili suala ni la kawaida sana kwenye hii industry. You can not do away with interruptions/disruptions such as delays, cancellations or early departure. Hivi vitu vinasababishwa na mambo mengi sana. Weather, technical issues and so on. Yote haya hayaepukiki. Safety is of utmost importance when it comes to air travel. Na as long as you are IATA member, lazima uwe na adherence to these issues.
Get to know the facts before you misjudge something
 
Nyi mnajua kama Bakhressa nae anakuja na airline company yake?
 
[h=1]
[/h] Dar es Salaam and Mwanza is one of the most travelled routes between major cities in Tanzania. fastjet now provides regular daily flights between Julius Nyerere International Airport and Mwanza International Airport.
Book today on the website or by calling one of our representive agents. Flights departing from Dar es Salaam begin from 32,000Tsh (one way excluding taxes).


Dar es Salaam to Mwanza from 32,000Tsh - Offers - Fastjet
 
Dar es Salaam and Mwanza is one of the most travelled routes between major cities in Tanzania. fastjet now provides regular daily flights between Julius Nyerere International Airport and Mwanza International Airport.
Book today on the website or by calling one of our representive agents. Flights departing from Dar es Salaam begin from 32,000Tsh (one way excluding taxes).


Dar es Salaam to Mwanza from 32,000Tsh - Offers - Fastjet

Ingekuwa bora zaidi ingetajwa nauli halisi - hii ya "excluding taxes" haipandi sawasawa.
 
wekeni mambo yenu open bana watu tusafiri,sie tunataka actual cost siyo mara vat mara tax,gve us ur price dar-mwanza
 
Back
Top Bottom