Ingekuwa bora zaidi ingetajwa nauli halisi - hii ya "excluding taxes" haipandi sawasawa.
Sawa kabisa.Kuna nini kinafichwa hapo?
Right, kuna kitu wanaficha hawa wahuni. it is impossible on earth kuwa na usafiri wa ndege that much cheap!!!! wahuni hawa, wasema nauli kamili including all taxes!
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.Ahahahaaa wandugu me nimefanya booking jana lakini nimekuta bei ya tofauti yaani kwenda ni 144,000/ tu hawa jamaa hili ni balaa inabidi wawaeleze watanzania ukweli!
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.
wataalum ebu tuambieni hawa jamaa watakuwa wanajiendesha kwa faida au namna gani?au ndiyo yale yale ya community air?
Kilichopo ni kuwa kwenye ticket za ndege kuna class mbalimbali za ticket ambazo zina bei tofauti. Mnaweza kukaa siti za mstari mmoja huku mmelipa bei tofauti na hutegemea na lini umekata ticket. Kwa hawa FastJet ticket za class ya chini ndio hizo za 32,000 jumlisha kodi ya uwanja wa ndege nadhani saizi ni 2000 na VAT hapo itakuwa 6,400. But katika ndege nzima unaweza kukuta ticket za hiyo class ya bei ya chini ziko 10 tu hivyo muda wote zinakuwa zimeisha. Class zingine bei yake ni mkasi lazima uanzie 130,000 pamoja na VAT kwa mwanza to dar. Precision wao wana class yao ya chini 199,000 kwenda na kurudi Dar to Mza
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.
[h=1]
[/h] Dar es Salaam and Mwanza is one of the most travelled routes between major cities in Tanzania. fastjet now provides regular daily flights between Julius Nyerere International Airport and Mwanza International Airport.
Book today on the website or by calling one of our representive agents. Flights departing from Dar es Salaam begin from 32,000Tsh (one way excluding taxes).
Dar es Salaam to Mwanza from 32,000Tsh - Offers - Fastjet