Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Sawa kabisa.Kuna nini kinafichwa hapo?

Right, kuna kitu wanaficha hawa wahuni. it is impossible on earth kuwa na usafiri wa ndege that much cheap!!!! wahuni hawa, wasema nauli kamili including all taxes!
 
wataalum ebu tuambieni hawa jamaa watakuwa wanajiendesha kwa faida au namna gani?au ndiyo yale yale ya community air?
 
Tax rate nyingi zinategemea bei halisi ya bidhaa, na haiwezi kuwa more than 100% ya bei ya bidhaa. Hata kodi iwe kiasi gani nauli haitazidi 60,000. Kuna kitu kingine tu kimejificha kwenye hii biashara ya hawa jamaa.
 
Kwani niyakina nani jamani?mnaojua fungukeni,ndege gani cheap namna Hii,Mbona inatia wasi wasi
 
Hivi humu JF hakuna waliopanda hili DEGE? Hebu tupatieni picha halisi ya gharama zao. Kama unaticket weka COPY yake!
Right, kuna kitu wanaficha hawa wahuni. it is impossible on earth kuwa na usafiri wa ndege that much cheap!!!! wahuni hawa, wasema nauli kamili including all taxes!
 
Ahahahaaa wandugu me nimefanya booking jana lakini nimekuta bei ya tofauti yaani kwenda ni 144,000/ tu hawa jamaa hili ni balaa inabidi wawaeleze watanzania ukweli!
 
add airport tax, fuel surcharge and aviation safety fee kama $47 one way na kwa round trip $94
 
Ahahahaaa wandugu me nimefanya booking jana lakini nimekuta bei ya tofauti yaani kwenda ni 144,000/ tu hawa jamaa hili ni balaa inabidi wawaeleze watanzania ukweli!
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.
 
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.

Cheki na hiyo link kaka

http://booking.fastjet.com/vars/public/m/bookingPages/flights.aspx
 
wataalum ebu tuambieni hawa jamaa watakuwa wanajiendesha kwa faida au namna gani?au ndiyo yale yale ya community air?

Kilichopo ni kuwa kwenye ticket za ndege kuna class mbalimbali za ticket ambazo zina bei tofauti. Mnaweza kukaa siti za mstari mmoja huku mmelipa bei tofauti na hutegemea na lini umekata ticket. Kwa hawa FastJet ticket za class ya chini ndio hizo za 32,000 jumlisha kodi ya uwanja wa ndege nadhani saizi ni 2000 na VAT hapo itakuwa 6,400. But katika ndege nzima unaweza kukuta ticket za hiyo class ya bei ya chini ziko 10 tu hivyo muda wote zinakuwa zimeisha. Class zingine bei yake ni mkasi lazima uanzie 130,000 pamoja na VAT kwa mwanza to dar. Precision wao wana class yao ya chini 199,000 kwenda na kurudi Dar to Mza
 
Kumbe wanatuletea janja ya nyani! Naona kama ni hivyo hapa lengo ni kujitangaza tu kibiashara na si kutoa bei nafuu kwa wateja
 
lugha ya biashara lakini hii si biashara ni kukulaghai ukifika hapo huondoki kwa ajili ya kuona usumbufu baada ya kupata picha halisi na hivyo ni lazima ununue.
 
Nikweli they should say the truth,but I can see their prices are still lower compared to their opponents.

No of Adults: 1
Dar es Salaam to Mwanza (FN0163)
Departure: 20 Dec 15:00
Arrival Time: 20 Dec 16:30
Fare: 144,000 TZS
Taxes: 11,040 TZS
Total: 155,040 TZS
Mwanza to Dar es Salaam (FN0164)
Departure: 23 Dec 17:15
Arrival Time: 23 Dec 18:45
Fare: 144,000 TZS
Taxes: 11,040 TZS
Total: 155,040 TZS
Total fares and taxes: 310,080 TZS
Total Baggage: 0 TZS
Total payable: 310,080 TZS

Ongeza 8,000/= kwa kila begi Jumla ni 318,080/=.

Hiyo bei wanayotangaza shirika linaingia sokoni kwa kuanza ujanja ujanja ni dalili mbaya, nimepoteza imani kabisa.
 
[h=1]
[/h] Dar es Salaam and Mwanza is one of the most travelled routes between major cities in Tanzania. fastjet now provides regular daily flights between Julius Nyerere International Airport and Mwanza International Airport.
Book today on the website or by calling one of our representive agents. Flights departing from Dar es Salaam begin from 32,000Tsh (one way excluding taxes).

Dar es Salaam to Mwanza from 32,000Tsh - Offers - Fastjet

matapeli wengine hao kama airtel wanapotangaza kuwa Ukitoa fedha haulipi ikiwa ukweli ni kuwa unalipia.Nauli halisi ni Tsh.144,000/-
 
nmeongea nao hawa jamaa wameniambia plus hyo tax total ni 48000 elfu tu na tar 29 Nov wanaanza safari,
 
Back
Top Bottom