Usafiri wa bus Dar hadi Tunduma

Usafiri wa bus Dar hadi Tunduma

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
699
Reaction score
416
Habarini za asubuhi Wanajamvi,
Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi.
Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma.
Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
 
Nah don kno shit hope someone atakupa jibu
 
Habarini za asubuhi Wanajamvi,
Kwa wale wa dar poleni na mvua ya asubuhi asubuhi.
Naomba kuulizia usafiri wa bus safi na huduma bora toka Dar hadi Tunduma.
Nina wageni wangu kutoka nje wanataka kusafiri kwenda Tundumba kwa bus.
Apande Golden deer au sauli, golden deer nauli 40,000 na sauli 45,000! Naishi Tunduma
 
Sauli itafaa nauli 45k

Hivi kile ki stand uchwara cha tunduma serikali hawakioni?
 
Asante,
niliulizia watu nikaambiwa Sauli ni zuri ila mwendo kasi balaa, roho mkononi.
Aliekuambia hayo ni wazi haujui mwendo wa roho mkononi......na wewe umekubali kuhadaika,toka lini 80kph na 50kph zikawa spidi za roho mkononi!!!!?
 
Aliekuambia hayo ni wazi haujui mwendo wa roho mkononi......na wewe umekubali kuhadaika,toka lini 80kph na 50kph zikawa spidi za roho mkononi!!!!?
Speed ni za kawaida tu,ila kwenye kubajeti muda ndo gape huanzia hapo,
 
Sauli ndio A1 bus 🚌, Dar to Tunduma you will never get wrong
 
Back
Top Bottom