Usafiri wa Dar -Moshi Alhamisi jioni

Usafiri wa Dar -Moshi Alhamisi jioni

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
 
Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
 
1. Precision Air ndege ya 18:30HRS,
2. Kilimanjaro Express 19:00 HRS,
3. Magari ya magazeti, Ubungo Kibo, 23:00 HRS
 
Asante .... Ngoja nicheki namba zao niwaulize ...
 
1. Precision Air ndege ya 18:30HRS,
2. Kilimanjaro Express 19:00 HRS,
3. Magari ya magazeti, Ubungo Kibo, 23:00 HRS
Hiyo option 1 ni parefu kidogo... Nilikuwa nataka usafiri wa Barabara ambao Nina uwezo nao
 
Kilimanjaro hawana usafiri wa usiku tena. Wameusitisha. Hii ni taarifa kutoka ofisini kwao baada ya kuwasiliana nao
 
Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
Hapo usafiri wa uhakika ni Precision Air tu
 
Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
Walisitisha, umerudi tena?
 
Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
Nenda pale mwenge sheli bp kaa kwenye benchi pale hata saa 1 unaota usafir.
Note usiwe mkuaji
 
Kwani magari ya magazeti hayapo siku hizi.?
Lkn mwendo wao Kaka.........
 
Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
Kwa hiyo siku hizi mabasi kusafiri usiku ni ruksa?
 
Back
Top Bottom