Usafiri wa Dar -Moshi Alhamisi jioni

Usafiri wa Dar -Moshi Alhamisi jioni

Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
Hakuna kitu kama hiki, walitarajia kuwa na ruti hizi lakini wamenyimwa vibali na serikali
 
Hiyo safari walishaichaga kitambo...mamlaka ziliwakatalia
Naona sasa hivi mamlaka zimepiga pini hizi safari za usiku. KLM express walipiga hii safari nafikiri kama mara mbili tatu tuu, wakapigwa pini. Naona pia sasa hivi gari za Mbeya zilizokua zinapiga ruti za mchana zimepigwa pini pia.
Kama KLM express aisee hiyo gari ya saa mbili na nusu ilikua inajaa fullu.
 
Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
Nakumbuka Kilimanjaro walileta tangazo lao humu sijui hawakulipia? Ilikuwa ni Thread
 
Wamesimamishwa kwa sababu gani maana wazee wa hakula kulala Tunduma-dar-tunduma tunaenjoy huduma hizo za usiku
Hii ruti ya Dar Tunduma ya usiku New force pia wamesimamishwa, ilikua ruti yangu sana hiyo, ila juzi kati nikawacheki wanipe tiketi wakaniambia wamesimamisha safari za mchana..!!
Majinja anaendelea?
 
Back
Top Bottom