maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
1. Precision Air ndege ya 18:30HRS,Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
Asante .... Ngoja nicheki namba zao niwaulize ...Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
Hiyo option 1 ni parefu kidogo... Nilikuwa nataka usafiri wa Barabara ambao Nina uwezo nao1. Precision Air ndege ya 18:30HRS,
2. Kilimanjaro Express 19:00 HRS,
3. Magari ya magazeti, Ubungo Kibo, 23:00 HRS
Okay. Waone Kilimanjaro ExpressHiyo option 1 ni parefu kidogo... Nilikuwa nataka usafiri wa Barabara ambao Nina uwezo nao
Kilimanjaro hawana usafiri wa usiku tena. Wameusitisha. Hii ni taarifa kutoka ofisini kwao baada ya kuwasiliana naoHiyo option 1 ni parefu kidogo... Nilikuwa nataka usafiri wa Barabara ambao Nina uwezo nao
Asante mkuu! Jioni ya saa ngapi naweza kufika hapoFika ubungo pale sheli kuna coaster zinasafiri jioni kuelekea Arusha
Asante mkuu! Jioni ya saa ngapi naweza kufika hapo
Hapo usafiri wa uhakika ni Precision Air tuNdugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
nimekucheki dmAsante mkuu! Jioni ya saa ngapi naweza kufika hapo
Asan mkuu... Tutawasiliananimekucheki dm
Walisitisha, umerudi tena?Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.
Nimewasiliana nao... HaujarudiWalisitisha, umerudi tena?
Nenda pale mwenge sheli bp kaa kwenye benchi pale hata saa 1 unaota usafir.Ndugu wanajamiiforum! Habari za weekend?
Nategemea kwenda Moshi Alhamisi jioni kwa ajili ya shughuli za kifamilia ijumaa...
Naomba ushauri wetu ni aina gani ya usafiri nitapata kutokea Dar kuanzia saa 12 jioni.
Natanguliza shukrani
Kwa hiyo siku hizi mabasi kusafiri usiku ni ruksa?Kilimanjaro express wana safari za kutoka Dar kwenda Arusha za usiku, basi linatoka saa mbili na nusu usiku. Wacheki chap ukate tiketi fasta, maana huwa tiketi zinaisha mapema sana.
Ni very comfortable.