Nimecheka sana sehem flan unasema ukiwa shule ungekuja kuwa Jambaz la kike kwa babe uliokuwa nao shule khaaa,,,,! Ujue kipindi cha makuzi Kijana anajiona anaweza kila kitu lkn umri unavyoongezeka kila kitu kinabadilika inabaki stori tu,,,,!
Ha ha ha pauline yule dada alikuaga msafiii,daah indian kotaz ulikua wakaa maeneo gani pande zile?
huyohuyoooo.
Pale Indian nilikuwa nakaa kota za wafanyakazi wa TRA....hapa mwanzo
mi mwenyeji sana hiyo mitaa,nyie ndio intake ya kina rafael mwango,bathlomea mihayo,peter lalubare, nk!!
😛eep: 😛eep: 😛eep:
Inabidi tumkumbuke Kikwete.
wana radio station km tatu hivi ila mi naikubali pride fm yaani iko kimtwara zaidi vipindi vyao vimejikita sana kwa kusini hawana kuiga km radio safari wanawaiga clouds kila kitu ubunifu zero
hongera sana andrew mturi na crew yako ya asubuhi
Daah madam ulikua jirani yangu wewe mitaa ya kotaz halafu ni skul mate ha ha ha sabasaba those dayz!!
Mi nilikua nakaa mtaani jirani na kotaz wazee wamejenga maeneo yale yale.Wewe ulikuwa wakaa kota ipi pale?
Inabidi tumkumbuke Kikwete.
usafiri wa kusini umekuwa mzuri baada ya kukamilika daraja la mto rufiji na barabara yake wakati wa mjomba BENI lkn le profesa imemshinda km 15 tu miaka tisa sifa hii haimuhusuHingera jk na magufuri kwa kuwakumbuka watu wa kusini. Tukumbukeni na sisi wakiteto, safari ya kutoka dar mpaka kiteto kipande cha kuanzia runch ya nacompaka kiteto nasi tuwekewe rami.
Mi nilikua nakaa mtaani jirani na kotaz wazee wamejenga maeneo yale yale.
kwa kuchelewesha kukamilika kwa kipande cha km15 miaka tisa aiseeeeee kweli CCM majanga
For what?? Kwani yeye ndio kajenga barabara??
but hope mmeogopa coz kipo mbioni kukamilika au ndio uvumi ulioenea kuwa wale wachina pale msituni wanafanya yaoNaam, hilo lisikutishe. Hata Aladin alipomjengea mfalme jumba la dhahabu alimwachia kipande kidogo amalizie mwenyewe. Hicho kipande tunawawachia UKAWA wamalizie. Mnaweza?
Hahaha Madame B umenikumbusha mbali MsangaMkuu lol..inaonekana unepiga sana kusini
chingas usemayo kweli kabisa japo sijayaoanda bado hayo mabasi ila nayaona barabarani ni mazuri
Ila pamoja na yote maisha Mtwara ni ghali sana...kila kitu ghali lodge ghali msosi ghali...muda mwingi lodge zimejaa nadhani shauri ya wachimba gesi..ni kama mji umevamiwa haukuwa umejiandaa kwa maingilio makubwa ya watu..
Lingine huduma kwa wateja bado sana kwa watu wa Mtwara..ni sheeder...
Ila kwenye viwanja kweli sasa ivi ghali sana vimepanda bei
Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Kweni mabasi ya JM luxury Coach ni ya Kikwete?
kama ni Barabara tunajua kuwa zote zimejengwa na kodi ya wanainchi ile ambayo hubaki baada ya kuchakachuliwa kwa saana na hawa mafisadi wa CCM
WIFI mwanga yule, Temeke Sudan yote kaikamata yeye