Itasaidia kama arusha mbeya
Jana nimepanda Jm nilifika saa tisa kasoro masasi na tulichelewa sababu ya washuka njiani
itasaidia kama arusha mbeya
jana nimepanda jm nilifika saa tisa kasoro masasi na tulichelewa sababu ya washuka njiani
Mtu kama Maning Nice yule Msambaa ana mabasi mengi na mengine anayapeleka kwao kule Lushoto. Angejaribu siku moja Mtwara- Tanga!
aisee vizuri na itakua vyema last year niliona gari za songea mtwara via tunduru
Ndo mwenye hilo basi?
Maning Nice is Man from MozambiqueMtu kama Maning Nice yule Msambaa ana mabasi mengi na mengine anayapeleka kwao kule Lushoto. Angejaribu siku moja Mtwara- Tanga!
Duh umeuaaa..kwa kibanko ndo maskani...hahaaaa sikuhizi kuna kontenna la tolu(tall)...I knw u manyap km kwa km unakaa kwa jionee maana mi dukani kwangu ni coco beach au pale mdule mpya (villa park)
coco beach kunnua matunda matunda na njia yangu ilikua kuelekea kazini
watu maarufu mtwara koo
MBELENJE
SHILINGI
CHAMPIONI
MPINI
KWEKA
MASSAWE
KOKA
MANDANDA
NDUGURU
VIJANA MAARUFU
SAIDI LIMBEGA
P.DIDY(HAJJI MNALY)
MAREHEMU SHANGWE
NA WALE WA MZEE MANDANDA
ATHUMANI CHICHIBI AKA BOSS MTOTO
WENGINE MTAWAWEKA NIMESAHAU
yap km kwa km unakaa kwa jionee maana mi dukani kwangu ni coco beach au pale mdule mpya (villa park)
coco beach kunnua matunda matunda na njia yangu ilikua kuelekea kazini
watu maarufu mtwara koo
MBELENJE
SHILINGI
CHAMPIONI
MPINI
KWEKA
MASSAWE
KOKA
MANDANDA
NDUGURU
VIJANA MAARUFU
SAIDI LIMBEGA
P.DIDY(HAJJI MNALY)
MAREHEMU SHANGWE
NA WALE WA MZEE MANDANDA
ATHUMANI CHICHIBI AKA BOSS MTOTO
WENGINE MTAWAWEKA NIMESAHAU
duh umeuaaa..kwa kibanko ndo maskani...hahaaaa sikuhizi kuna kontenna la tolu(tall)...i knw u man
shangwe kafa lini huyo mzee?, alikuwa anapenda kuvaa msuli, au nimemfananisha....kama ndo huyo kawaambie ndugu zake wana mtoto dar....alizaa na rafiki yangu wakati tunasoma mangamba
Aisee asante mleta uzi, nimekumbuka Chikandanga, Ming'oko, kunazi, mapwiru, embe, ng'onda, korosho, chamaki nchanga n.k.
....Maana watu tumetoka mbali, unalala Rufijiiiiiii.....usiku tunaishia kupapaswa na makonda, asubuhi ndo mnaanza safari, hapo hamjaiona Kilwa, basi lishaharibika si chini ya mara 8.
Skonga umevuta, gari njiani linaharibika, ...ukifika skonga unachezea mbata za teacher Ngwadakulima....mamaeeee....we mwalimu nyoko zako uliko huko.
Siku tukikutana jifiche mwenyewe...maana nitakufanyia kitu nbaya
shangwe mbona toka mwaka juzi si alikua meneja wa ng'itu?
Katesa sana mtwara shangwe
ngoja december naenda tena ntamwambia p.didy
Bus gani mkuu.
Dah umenikumbusha kunazi na embe Enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa Indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya Mtepwezi .. hao mbwa sasa haha
Hahaha Indian quarters jamani the best street ever kota za TRA,Mamlaka ya korosho na Mkoani ulikuwa maarufu kushinda railway watoto kibao
Maning Nice is Man from Mozambique
Hata mtwara dodoma itasaidia wale wanaoenda shy, tabora, na mwanza wakilala dodoma better kuliko dar
Usafiri umekuwa mzuri now mtu unaenjoy safari zamani ukisikia kwenda kusini unatamani siku isifike
Ila bado mabus wanatatizo la kulipisha mabag ya abiria
dah umenikumbusha kunazi na embe enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya mtepwezi .. Hao mbwa sasa haha