Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Itasaidia kama arusha mbeya
Jana nimepanda Jm nilifika saa tisa kasoro masasi na tulichelewa sababu ya washuka njiani

Itasaidia sana! Na kiukweli link kati ya Kusini na mikoa ya kati na magharibi ya nchi inakuwa jiran zaidi. Hakuna sababu ya mtu aendae Moro apate tabu ya kubadilsha basi!
 
Mtu kama Maning Nice yule Msambaa ana mabasi mengi na mengine anayapeleka kwao kule Lushoto. Angejaribu siku moja Mtwara- Tanga!
 
itasaidia kama arusha mbeya
jana nimepanda jm nilifika saa tisa kasoro masasi na tulichelewa sababu ya washuka njiani

aisee vizuri na itakua vyema last year niliona gari za songea mtwara via tunduru
 
Mtu kama Maning Nice yule Msambaa ana mabasi mengi na mengine anayapeleka kwao kule Lushoto. Angejaribu siku moja Mtwara- Tanga!

Hata mtwara dodoma itasaidia wale wanaoenda shy, tabora, na mwanza wakilala dodoma better kuliko dar

Usafiri umekuwa mzuri now mtu unaenjoy safari zamani ukisikia kwenda kusini unatamani siku isifike

Ila bado mabus wanatatizo la kulipisha mabag ya abiria
 
aisee vizuri na itakua vyema last year niliona gari za songea mtwara via tunduru

Hizo zilikuwepo, kwa sasa sina hakika, ila kuna kipande fulan Tunduru- Namtumbo ni korofi sana! Wengi wanajua Mtwara na Ruvuma ni mikoa jirani. Hilo ni kweli lakini kuna safari ndefu sana yaani ni umbali mrefu sana kutoka Songea( Mji/ Manispaa) hadi Mtwara(Mji/ Manispaa). Umbali huo ni kama kilometa 620 hivi- umbali unaoelekea kuwa sawa na Dar-Arusha kilometa 640-660 hivi( refer Road Distance in Tanzania-TANROADS)!
 
Mtu kama Maning Nice yule Msambaa ana mabasi mengi na mengine anayapeleka kwao kule Lushoto. Angejaribu siku moja Mtwara- Tanga!
Maning Nice is Man from Mozambique
 
yap km kwa km unakaa kwa jionee maana mi dukani kwangu ni coco beach au pale mdule mpya (villa park)
coco beach kunnua matunda matunda na njia yangu ilikua kuelekea kazini
watu maarufu mtwara koo
MBELENJE
SHILINGI
CHAMPIONI
MPINI
KWEKA
MASSAWE
KOKA
MANDANDA
NDUGURU
VIJANA MAARUFU
SAIDI LIMBEGA
P.DIDY(HAJJI MNALY)
MAREHEMU SHANGWE
NA WALE WA MZEE MANDANDA
ATHUMANI CHICHIBI AKA BOSS MTOTO
WENGINE MTAWAWEKA NIMESAHAU
Duh umeuaaa..kwa kibanko ndo maskani...hahaaaa sikuhizi kuna kontenna la tolu(tall)...I knw u man
 
Aisee asante mleta uzi, nimekumbuka Chikandanga, Ming'oko, kunazi, mapwiru, embe, ng'onda, korosho, chamaki nchanga n.k.

....Maana watu tumetoka mbali, unalala Rufijiiiiiii.....usiku tunaishia kupapaswa na makonda, asubuhi ndo mnaanza safari, hapo hamjaiona Kilwa, basi lishaharibika si chini ya mara 8.
Skonga umevuta, gari njiani linaharibika, ...ukifika skonga unachezea mbata za teacher Ngwadakulima....mamaeeee....we mwalimu nyoko zako uliko huko.
Siku tukikutana jifiche mwenyewe...maana nitakufanyia kitu nbaya
 
yap km kwa km unakaa kwa jionee maana mi dukani kwangu ni coco beach au pale mdule mpya (villa park)
coco beach kunnua matunda matunda na njia yangu ilikua kuelekea kazini
watu maarufu mtwara koo
MBELENJE
SHILINGI
CHAMPIONI
MPINI
KWEKA
MASSAWE
KOKA
MANDANDA
NDUGURU
VIJANA MAARUFU
SAIDI LIMBEGA
P.DIDY(HAJJI MNALY)
MAREHEMU SHANGWE
NA WALE WA MZEE MANDANDA
ATHUMANI CHICHIBI AKA BOSS MTOTO
WENGINE MTAWAWEKA NIMESAHAU

…………Shangwe kafa lini huyo mzee?, alikuwa anapenda kuvaa msuli, au nimemfananisha....kama ndo huyo kawaambie ndugu zake wana mtoto Dar....alizaa na rafiki yangu wakati tunasoma Mangamba
 
duh umeuaaa..kwa kibanko ndo maskani...hahaaaa sikuhizi kuna kontenna la tolu(tall)...i knw u man

nampata vizuri tall na mkewe wale
wana binti yao anafundisha nanguruwe
pembeni ya tall kuna bucha wenye na pharmay yule baba wa pharmacy ni mtu wangu sana kipindi niko huko yaani hapa km niko mtwara vile
na pale kuna bodaboda ukivuka kuna mshikaji kipindi cha msimu wa mihogo anauza sana mihogo
 
…………shangwe kafa lini huyo mzee?, alikuwa anapenda kuvaa msuli, au nimemfananisha....kama ndo huyo kawaambie ndugu zake wana mtoto dar....alizaa na rafiki yangu wakati tunasoma mangamba

shangwe mbona toka mwaka juzi si alikua meneja wa ng'itu?
Katesa sana mtwara shangwe
ngoja december naenda tena ntamwambia p.didy
 
Aisee asante mleta uzi, nimekumbuka Chikandanga, Ming'oko, kunazi, mapwiru, embe, ng'onda, korosho, chamaki nchanga n.k.

....Maana watu tumetoka mbali, unalala Rufijiiiiiii.....usiku tunaishia kupapaswa na makonda, asubuhi ndo mnaanza safari, hapo hamjaiona Kilwa, basi lishaharibika si chini ya mara 8.
Skonga umevuta, gari njiani linaharibika, ...ukifika skonga unachezea mbata za teacher Ngwadakulima....mamaeeee....we mwalimu nyoko zako uliko huko.
Siku tukikutana jifiche mwenyewe...maana nitakufanyia kitu nbaya

Dah umenikumbusha kunazi na embe Enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa Indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya Mtepwezi .. hao mbwa sasa haha
 
Dah umenikumbusha kunazi na embe Enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa Indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya Mtepwezi .. hao mbwa sasa haha

Aiseee kitamboooo sana.
....kuna siku tulikimbizwa na mbwa mitaa ya shangani kule nyuma ya Parish...break ya kwanza kiyangu sokoni....tulikomaje
 
Hahaha Indian quarters jamani the best street ever kota za TRA,Mamlaka ya korosho na Mkoani ulikuwa maarufu kushinda railway watoto kibao

ila twende mbele na kurudi nyuma, wasichana wa kota za bandari walikuwa malayaaaaa......
qn of sheba wewe ulikuwa kota za wapi?....maana Mtwara karibia yote imajaa kota
 
Last edited by a moderator:
Maning Nice is Man from Mozambique

Ni msambaa kutoka Lushoto! Amefanya biashara ya Mabasi muda mwingi huko Msumbiji lakini ni Mgosi na ni Mtanzania Halisi. Kama uko Mtwara leo, likifika basi la Maning Nice, nenda Mlango wa Dereva kasome anuani na jina la mmiliki wa basi. Utakuta jina limeanza na neno She.....! Shekimweri, Shelutete, Shelukindo, Shekifu nk! Anatumia address ya Dar, ila ni msambaa pure. Yard yake iko pale Mwembeyanga kama unaelekea Yombo Kilakala karibu na soko la Maguruwe!
 
Hata mtwara dodoma itasaidia wale wanaoenda shy, tabora, na mwanza wakilala dodoma better kuliko dar

Usafiri umekuwa mzuri now mtu unaenjoy safari zamani ukisikia kwenda kusini unatamani siku isifike

Ila bado mabus wanatatizo la kulipisha mabag ya abiria

Hilo ni tatizo kubwa sana. Hapo ustaarab bado. Mimi jambo hilo hunishangaza sana. Eti begi ulipie, ni aibu kubwa kwa zama hizi. Majuzi nilikuwa Njombe nimerud na Box la viaz bure kabisa kampuni moja ya mabasi ya Galaxy, iko poa!

Wasfirishaji wa Mtwara to Dar wanalo la kujifunza hapa. Maning Nice mwenyewe mabasi yake mengine yanaenda kwao kule Lushoto lakini ulimbukeni wa kukomalia vibegi hawana, why kwa yale yaendayo kusini tu?! Kwa zama hizi wajirekebishe bhana!
 
dah umenikumbusha kunazi na embe enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya mtepwezi .. Hao mbwa sasa haha

mpaka leo watoto wanaenda kuokota kunazi huko na pale maeneo ya ttc
 
Back
Top Bottom