qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
kweli umenena ila we angalia wachaga wanavyoshika kasi kina kweka,massawe ht shule kule chache kweli yaani private hazifiki kumi SIJUI TANO ZILE
KUNA MIDECE,OCEAN,CALL AND VISION (HAINA MIAKA MINGI)NMTWARA SISTERS,AQUINAS,MTWARA ISLAMIC(YA HIVI KARIBUNI)NA KING DAVID
Huyo Massawe ni mkongwe sana na hafulii aisee Lyimo alikuja kwa kasi sijui kama bado yupo. Ila massawe enzi zake watoto wake akina Ruth,Renald walikuwa wanatesa sana enzi hizo ukienda shule na baskeli we ndo wakishuaa Hapo Masawe na Watoto wa Lipwelele ndio walikuwa maarufu pale Ligula haha