Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho


Huyo Massawe ni mkongwe sana na hafulii aisee Lyimo alikuja kwa kasi sijui kama bado yupo. Ila massawe enzi zake watoto wake akina Ruth,Renald walikuwa wanatesa sana enzi hizo ukienda shule na baskeli we ndo wakishuaa Hapo Masawe na Watoto wa Lipwelele ndio walikuwa maarufu pale Ligula haha
 

sabodo wamechukua serikali sasa hv ada km gvt
 

yaani hao ndo ma
don wa huko
unamjua mzungu wa naliendele?
 

Umesoma vizuri post #1 ? "mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika".

Unajuwa maana yake hiyo?

Ndiyo maana nikasema Kikwete akumbukwe kwani inaonesha dhahiri shahiri Kikwete ndiye aliyeikumbuka mikoa "iliyosahaulika"
 
Hivi kampuni ya Ng' itu imekufa kabisa? Mbona kimya? Hata zile coaster za Mtwara- Masasi hakuna, au bado zipo? Mulioko Mtwara mutujuze!

Kampuni ya Sollo imekufa kabisa? Mbona kimyaaa?

Vipi Al hamduli llah nae kimya hana basi kabisa? Mutujuze!
Ng'itu tangu yule mzee(Mbunge) afariki naona wadogo za wameshindwa kabisa kuiendeleza ile kampuni, Wenzake wananunua Yutong ye bado anaendelea na Mikweche yake, biashara imemshinda,coz nobody akipanda gari zake labda uwe umechelewa na huna option nyingine...
Baadae nikasikia biashara zake ni za NGENDE so imekufa kifo cha mende
 
Hahaaaa, haya tuanze sasa...hii ni Magoemeni pale juction-VETA, inapitia Mangoela, Chuno, Ocean to Veta
CHAZA, Madame B, geniveros, qn of sheba, chingas, Chinga One, VOICE OF MTWARA, mmhE, hmtk, Mrembo by Nature, Asante, FaizaFoxy
Update'

 
Last edited by a moderator:
Barabara ya pale sokoni kupitia Nabwada hadi Bandarini full LAMI...inaitwa KUNAMBI ROAD...soko kubwa lote limezungukwa na lami
 
CoCO Beach...hahaaa Hiki ni kijiwe cha Bodaboda!! Almaarufu sana kwa kulianzisha(vuguvugu la gesi lilianzia hapa)

nilivyofika mtwara mara ya kwanza mwenyeji wangu akaniambia ngoja nikakuonyeshe coco beach!!! dah kumbe ni stand ya bodaboda!!! nilipapenda sana Msemo Beach na Makonde kabla hawajajenga ile club
Hahaaa kweli mtu asiyejua coco neach mtwara anaweza dhani ni pwani haha


 
Afu unajua mie nimesoma Ligula primary?
Wapi mwl Mayele, Chimpepo, Haule, Mandanda,Nachi alikuwa na mkono uliolemaa....mdogomdogo, nitakujua tu
Hii ndo LIGULA PRIMARY SCHOOL...vichwa vingi vya Mtwara ndo chimbuko lake, tumepigishwa sana KWATA hapa na akina MAYELE(RIP) na akina Nachiputa...hahahaaaa..usimsahau Mwl Munga..akina DODI, Manento...Mwl Masali alikuwa na style yake ya kung'ata pua ni "RINGS"...hahaaa majambazi yote akina RAZARO, ANORD waliisoma namba





Unaiona "ngunja" hii hapa chini...hahaaa ni shida kwakweli. Hapo huezi kupata tuzo ya usafi mweee

 

Kunaz ni tunda la Uarabuni na pwani kwa ujumla. Pale Dodoma ilipandwa makusudi na Waarab ila wenyeji hawajui.Mikunaz imetajwa vema kwenye Quran tukufu kama moja ya chakula chenye ladha. Pamoja na umri wangu nilio nao kwa sasa, mkoa wowote na mji wowote nikikuta mkunaz umedondosha tunda zake nitaokota tu.

Aise jana nilipita pale Mbagala, nikakuta ming' oko inauzwa live. Pia nikakuta akinamama wanauza magos( ngozi za ng'ombe zilizochemshwa sawa tu na kongoro) nikakumbuka mbali sana mambo ya Kilabu cha Tandika, Kwa Nondo na pale Skoya- Lang'ata enzi hizo!
 
CoCO Beach...hahaaa Hiki ni kijiwe cha Bodaboda!! Almaarufu sana kwa kulianzisha(vuguvugu la gesi lilianzia hapa)

Mbona nilisikia vuguvugu lile lilianzia Nkana Red kule Magomeni?
 
Mbona nilisikia vuguvugu lile lilianzia Nkana Red kule Magomeni?
Nkana ledi lazima wawajulishe vijana wa coco beach...kama utakumbuka vizuri hapa ndo kilikuwa kituo cha IVECO zile za jeshi...mwanzo mwisho, hapa na huko Nkanaledi migomigo ila uasi ndo ulianzia kule
 
One of the best comment kwenye huu mjadala...hahahaaa wwe dada ni shida sana!! Mwenyewe ukionaaa rahaaaa kuchezewa na makondakta...lol
 
CoCO Beach...hahaaa Hiki ni kijiwe cha Bodaboda!! Almaarufu sana kwa kulianzisha(vuguvugu la gesi lilianzia hapa)






boss nikija tena mtwara nitakutafuta.....nilikuja mara ya mwisho mwezi wa sita maisha club ilikuwa imefungwa ile njia yote ilikuwa imemwagwa vifusi..washaweka lami??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…