qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mwalimu dodi nae ni marehemu kafa kwa ngoma,mayele naskia alirudi kwao nachingwea huko full kunywa matapu tapu akawa kama amedata hivi ila sijui km ni marehemu sasa!!
zamda shomari ha ha ha kaka utakua una nijua tu kama mitaa ya kwa kina odale una ijua ukivuta picha vyema waweza nijua.
Tumewapiga sana makonzi watoto wa Shangani
Hahaaa humu tunajuana tu sema majina me ile mitaa nimevuruga sana kuanzia kule kwa Nnauye, Kwa Lungu hapo kwa Shomari kwa mzee Odale kwa akina wile mpaka kwa mzee Napome,huyu mzee Alikuwa na watoto watata sana walikuwa wanasoma Ligula mapacha wakizinguliwa tu wanaenda kusema kwa kaka yao Iddi Napome.
duuh wamehamishiwa wapi?
mayele hakua mwalimu mkuu alikua mwalimu wa hesabu darasa la saba,mwalimu mkuu alikua mama mwangata....nime mkumbuka subiri ngelezani alikuaga kila mwaka anashika mkia kwenye darasa lao ha ha haaa...enzi hizo niza bado anapiga soka kishule shule,wapi haidari jafari na majula.ha ha ha.
Hahaaa wewe umenigusa exactly kwa baba hanifa nakujua. Pia kwa Mama Salama napajua wale Mapacha Kulwa na Dotto nawajua kuna siku walienda kuvuna ulimbo wa kutegea ndege kwa bahati mbaya wakaumeza walilia sana mpaka mtaa mzima walikuwa wanataniwa hawana raha. Ni wajukuu wa bibi Mdimbe kama sikosei, daah mmenikumbusha mbali jamani.
Ishumi nampata pia maana zamani ukiwa na soo utajulikana tu.
mayele hakua mwalimu mkuu alikua mwalimu wa hesabu darasa la saba,mwalimu mkuu alikua mama mwangata....nime mkumbuka subiri ngelezani alikuaga kila mwaka anashika mkia kwenye darasa lao ha ha haaa...enzi hizo niza bado anapiga soka kishule shule,wapi haidari jafari na majula.ha ha ha.
kulikua na shomari na juma napome,pale kati kuna amad watanga,oscar dubwe,yasini mwenda,miraji,donati haule,zainabu mtingita,vero rungu sina uhakika na jina,yule jamaa baba yake anaendesha matipa ya mchanga kwenye kona pale nearby nnauye......ali mwadili.
ha ha ha ishumi alikua anakaa kwa mbelenje pale,kuna hawa watu ate na ishe sijui wako wapi,mustafa lipwelele,mika milanzi,nelsoni john,kachichi,wile odale,sheila chindole,donati haule jaida mahamudu etc.
Jamani hivi kweli Mwl. Mayele alifariki ?? (R.ip) Siamini bado kila mtu anasema lake jamani.
Mashamba yalishakufa zamani Ile minazi inagemewa pombe na mwl. Mayele ndio alikuwa anapenda sana mazingira nakumbuka ndiye alitufundisha wimbo wa Shule. Mwl. Chimpepo mzee wa Riadha sijui yuko wapi nae.
Hahahahaha......sasa nyumba ya baba Hanifa hii
yetu ilikuwa ile ya nyuma yake, Baba Hanifa alikuwa na mwanae Saidi, mwembambaaaaaa, hahahaha maskini bikira yangu, Saidi mbaya weweeee....hahahhaha.
Nasikia pacha mmoja alifariki jamani aliumwa.
Unakumbuka tulipokuwa tunacheza rede ya vipande?...kuleeeeee kwenye mwembe karibu na kwa Mzee Mwakyoma
Jamani hilo jina nalikumbuka kabisa ila simkumbuki features zake jabisa ila alikuwa maarufu sana
Asha VanDamme tulikuwa nae darasa moja.
Msichana mmoja kakomaa mpaka nywele.
Nikienda Ntwara Makao ni Shangani....Baba zangu wote wanakaa mitaa ile...ntakupm Jina la Mzee unambie ana watoto wangapi michepukoni...tusijione tumetimia buree...manake we kibokooo
Hahaa Madam umenichekesha sana hahaha Saidi wee...
Jamani kumbe pacha mmoja alifariki r.i.p
Rede ya Vyumba Cheki namba naipatapata, Malai unakumbuka huu mchezo? Hahaha ule upande wa kwenu nilikuwa nakuja sana nilikuwa na best yangu anaitwa Rehema kwenye zile nyumba za mbele yenu... na mbele kidogo kama unaenda TTC kulikuwa na Mbuyu hadi leo upo, ulikuwa una nyuki balaa ila tulikuwa hatukomi kwenda kutafuta ubuyu na vitoro.
Yesssss.....Rehema kwao kulikuwa na mbwa ana rangi mbili.
kalikuwa kembambaaaa.
basi nyie ndio mlikuwa mnakuja kupopoa ndolo kwenye mwembe wa nyumbani kwetu....
said mbelenje anamiliki MTWARA LIVE uko pale skoya alikua mhasibu wa manispaa au ardhi km sijakosea wamemhamisha kapelekwa naliendele sekondari kaoma ruhusa akasome maana kule hakuna madiliWeweeeeeee.....mbona sikupati.
Unajua nataka kukufananisha.
nakumbuka nilianza mahusiano na Saidi Mbelenje, tulikutana ndani ya basi la Wifi enzi nasoma Ligula, ukoo mkubwa lakini watoto wao wa kiume woooote madomo zege.
Sheila, Mustapha, Jaida wote hao nilikuwa nawajua.