Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

barabara ndiyo inamaliziwa

brbr1.JPG
brbr2.JPG

brbr3.JPG

brbr4.JPG

brbr5.JPG
 
Yule mbwa alikuwa ananikwaza sana nilikuwa namuitia mbali Rehema ndo naenda nae kwao.. kulikuwa na mzambarau pia maeneo yale na mwembe pale kwenu ndio tulikuwa tunashinda kuokota kuanzia uchichi,ndolo hadi embe hahaha.

ndio kwao kulikuwa na mzambarau pia.
yule mbwa alikufaga....mbwa wenzie walimla mande.kule bwawani kwenye mbuyu....alipora demu.
Kwetu ndio mlikuwa mnakusanyikaga kupopoa embe....hahahaha

Unakumbuka dukani kwa Hamisi?
 
Hapa harufu ya Ntwara tuu. Muwe basi mnatutafsiria hiyo misamiati ya kunazi, mingoko, samaki nchanga nk

I swear kiswahili kipana hivyo vitu mikoa mingine vipo lakini majina tu tofauti haha ongezea Ulimbo,Kumbwa,Viokolo,Sunukwa,Vilenge,Midabwa,Pooza n.k
 
Hapa harufu ya Ntwara tuu. Muwe basi mnatutafsiria hiyo misamiati ya kunazi, mingoko, samaki nchanga nk

Shem, tuliza kipira.
hayo ni matunda na vyakula.
Mie nilisomea kule basi najua mpaka kuongea
 
I swear kiswahili kipana hivyo vitu mikoa mingine vipo lakini majina tu tofauti haha ongezea Ulimbo,Kumbwa,Viokolo,Sunukwa,Vilenge,Midabwa,Pooza n.k

unakumbuka kile kijumba cha kuchomea maiti za mabaniani kule Oceanic?...kuna siku tulimkamata paka tukamchoma mule ndani
 
ndio kwao kulikuwa na mzambarau pia.
yule mbwa alikufaga....mbwa wenzie walimla mande.kule bwawani kwenye mbuyu....alipora demu.
Kwetu ndio mlikuwa mnakusanyikaga kupopoa embe....hahahaha

Unakumbuka dukani kwa Hamisi?

Duka pekee lilokuwa maarufu mtaani si tulikuwa tunaliita duka la chini.. Alikuwa na mtoto anaitwa Bahati Hamisi alikuwa rafiki yangu tulikuwa tunamtumaga akaibe mchele wa madangi hahaha alafu opposite palikuwa na mkaanga chipsi maarufu alikuwa na genge lake pale chini ya mbuyu,staki kuamini kama nmemsahau jina,basi tukitumwa dukani kwa Hamisi chenji ikibaki tunapitia chipsi then tunasepa.
 
yaani madame b,queen sheba na chinga one mmesoma pamoja halafu hamjuani
shukrani kwa jf kumbukumbu za mtwara hizi

yaani hizi fake Id acha tu.
Halafu mbaya zaidi nimesoma darasa moja na Chinga One.... ila kutokana na id, sijui kama nitamjua

qn of sheba nimecheza nae kundi moja, mtaa mmoja ila pia kutokana na fake Id, eti simfahamu jamani
 
Last edited by a moderator:
mara ya kwanza kufika mtwara mwaka jana,hio mwezi wa sita ni mara ya pili,kwa kweli nilipapenda...picha niliyojenga kwa kusikia stori za watu ni tofauti na hali halisi,kuko poa sana...weekend moja mwezi huu lazima nije kula bata...
Nitafute tule woote bata mkuu...
 
yaani madame b,queen sheba na chinga one mmesoma pamoja halafu hamjuani
shukrani kwa jf kumbukumbu za mtwara hizi

Yaani leo nimecheka nwenyewe hapa mpaka wananishangaa sure Mtwara nikisikia sikuiz mara hiki mara kile nikikumbuka hizi stori nacheka sana.
Maana maeneo mengi enzi hizo kulikuwa porini kabisa kule shangani ndio kabisaa vichaka tupu.
 
Duka pekee lilokuwa maarufu mtaani si tulikuwa tunaliita duka la chini.. Alikuwa na mtoto anaitwa Bahati Hamisi alikuwa rafiki yangu tulikuwa tunamtumaga akaibe mchele wa madangi hahaha alafu opposite palikuwa na mkaanga chipsi maarufu alikuwa na genge lake pale chini ya mbuyu,staki kuamini kama nmemsahau jina,basi tukitumwa dukani kwa Hamisi chenji ikibaki tunapitia chipsi then tunasepa.

Hahahahah...muuza chips yuleee.
Yaani enzi hizo ndio lilikuwa duka pekeeee ukanda ule.
ukiwa unapandisha kule juu na ile kibarabara kulikuwa na grocery maarufu.
 
Haha hivi bwawa la Nabwada bado lipo? Na pale Lang'ata bado panafanya kazi?
Hahaaa , Lang'ata pamekufa, ila kuna some locals wanaendeleza yao ndan ya vijumba maeneo yaleyale skoya-relwe
 
yaani hizi fake Id acha tu.
Halafu mbaya zaidi nimesoma darasa moja na Chinga One.... ila kutokana na id, sijui kama nitamjua
qn of sheba nimecheza nae kundi moja, mtaa mmoja ila pia kutokana na fake Id, eti simfahamu jamani

Hahaha acha tu jamani unaweza jikuta unamdiscuss muhusika mwenyewe alafu anakujibu bila kujuana hahaha
 
Last edited by a moderator:
unakumbuka kile kijumba cha kuchomea maiti za mabaniani kule Oceanic?...kuna siku tulimkamata paka tukamchoma mule ndani

Ile nyumba ya baniani sijui bado ipo au huo ujenzi wa barabara mpya wamebomoa ila nakikumbuka sana Tena Lori la kuni likipita baada ya kumaliza kuchoma wamama wakianga walikuwa wanaendaga kuokota vipande vya kuni.. chezea fursa wewe..!!

Ila madam mlipinda sana hadi mkamchoma paka lmaoo!!!
 
Hahahahah...muuza chips yuleee.
Yaani enzi hizo ndio lilikuwa duka pekeeee ukanda ule.
ukiwa unapandisha kule juu na ile kibarabara kulikuwa na grocery maarufu.

Hahaha nimekumbuka yule muuza chipsi alikuwa anaitwa Blaza Winnie.. i wonder jina la kike!! Na kule juu upande wa pili opposite na kwa Nayopa kulikuwa na fundi mabati,ndoo,vyuma alikuwa anaitwa fundi ngongongo.
 
Hahaaa , Lang'ata pamekufa, ila kuna some locals wanaendeleza yao ndan ya vijumba maeneo yaleyale skoya-relwe

Skoya pale napo mitumba imekufa si naona sikuizi kuna frame tu za maduka na sheli
 
R.I.P aisee sikulijua hilo. Unajua sis wengine home ni hapo town Mtwara ila mambo ya shule na baadae job zimetufanya tutembee mikoa nj ya Mtw. Likizo.ndo fursa. Nilivyokuja April mwaka huu aisee bado Mmarekani yuko vilevile kisela sana na wala hajazeeka. Nilikumbuka mbali sana
Mmarekani yupo ila kafulia,anadili na biashara flani misheni town, siku moja kailaza gari ya dili pale Jagaju akaisahau...imekaa pale mwezi nzima haijulikani.
 
Back
Top Bottom