Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mbwa alikuwa ananikwaza sana nilikuwa namuitia mbali Rehema ndo naenda nae kwao.. kulikuwa na mzambarau pia maeneo yale na mwembe pale kwenu ndio tulikuwa tunashinda kuokota kuanzia uchichi,ndolo hadi embe hahaha.
barabara ndiyo inamaliziwa
View attachment 198876
View attachment 198877
View attachment 198878
View attachment 198879
View attachment 198880
Naona Ntu za Ntwara zimekutanana.
Teh teh teh teh!
Hapa harufu ya Ntwara tuu. Muwe basi mnatutafsiria hiyo misamiati ya kunazi, mingoko, samaki nchanga nk
Hapa harufu ya Ntwara tuu. Muwe basi mnatutafsiria hiyo misamiati ya kunazi, mingoko, samaki nchanga nk
I swear kiswahili kipana hivyo vitu mikoa mingine vipo lakini majina tu tofauti haha ongezea Ulimbo,Kumbwa,Viokolo,Sunukwa,Vilenge,Midabwa,Pooza n.k
ndio kwao kulikuwa na mzambarau pia.
yule mbwa alikufaga....mbwa wenzie walimla mande.kule bwawani kwenye mbuyu....alipora demu.
Kwetu ndio mlikuwa mnakusanyikaga kupopoa embe....hahahaha
Unakumbuka dukani kwa Hamisi?
yaani madame b,queen sheba na chinga one mmesoma pamoja halafu hamjuani
shukrani kwa jf kumbukumbu za mtwara hizi
Nitafute tule woote bata mkuu...mara ya kwanza kufika mtwara mwaka jana,hio mwezi wa sita ni mara ya pili,kwa kweli nilipapenda...picha niliyojenga kwa kusikia stori za watu ni tofauti na hali halisi,kuko poa sana...weekend moja mwezi huu lazima nije kula bata...
yaani madame b,queen sheba na chinga one mmesoma pamoja halafu hamjuani
shukrani kwa jf kumbukumbu za mtwara hizi
Duka pekee lilokuwa maarufu mtaani si tulikuwa tunaliita duka la chini.. Alikuwa na mtoto anaitwa Bahati Hamisi alikuwa rafiki yangu tulikuwa tunamtumaga akaibe mchele wa madangi hahaha alafu opposite palikuwa na mkaanga chipsi maarufu alikuwa na genge lake pale chini ya mbuyu,staki kuamini kama nmemsahau jina,basi tukitumwa dukani kwa Hamisi chenji ikibaki tunapitia chipsi then tunasepa.
Hahaaa , Lang'ata pamekufa, ila kuna some locals wanaendeleza yao ndan ya vijumba maeneo yaleyale skoya-relweHaha hivi bwawa la Nabwada bado lipo? Na pale Lang'ata bado panafanya kazi?
yaani hizi fake Id acha tu.
Halafu mbaya zaidi nimesoma darasa moja na Chinga One.... ila kutokana na id, sijui kama nitamjua
qn of sheba nimecheza nae kundi moja, mtaa mmoja ila pia kutokana na fake Id, eti simfahamu jamani
Hahaha acha tu jamani unaweza jikuta unamdiscuss muhusika mwenyewe alafu anakujibu bila kujuana hahaha
unakumbuka kile kijumba cha kuchomea maiti za mabaniani kule Oceanic?...kuna siku tulimkamata paka tukamchoma mule ndani
Hahahahah...muuza chips yuleee.
Yaani enzi hizo ndio lilikuwa duka pekeeee ukanda ule.
ukiwa unapandisha kule juu na ile kibarabara kulikuwa na grocery maarufu.
Hahaaa , Lang'ata pamekufa, ila kuna some locals wanaendeleza yao ndan ya vijumba maeneo yaleyale skoya-relwe
Mmarekani yupo ila kafulia,anadili na biashara flani misheni town, siku moja kailaza gari ya dili pale Jagaju akaisahau...imekaa pale mwezi nzima haijulikani.R.I.P aisee sikulijua hilo. Unajua sis wengine home ni hapo town Mtwara ila mambo ya shule na baadae job zimetufanya tutembee mikoa nj ya Mtw. Likizo.ndo fursa. Nilivyokuja April mwaka huu aisee bado Mmarekani yuko vilevile kisela sana na wala hajazeeka. Nilikumbuka mbali sana