qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mwalimu dodi nae ni marehemu kafa kwa ngoma,mayele naskia alirudi kwao nachingwea huko full kunywa matapu tapu akawa kama amedata hivi ila sijui km ni marehemu sasa!!
Yeah mwl. Dodi niliambiws naye kafariki