Naona Chingas full kujiachia kwenye uzi.
babu fimbo giant flani pande la mtu kaenda hewani,palebkwa kina maiko milanzi siku hizi pame chakaa kinoma pemben yake kuna mzee sudi daah hatari sana.
Wapi Sauda Juma!Nami ngoja niwakumbuke class mate wangu, pale Rahaleo pr school tuliomaliza 1994 , muko wapi? nakumbuka mwaka huo hatukufanyiwa mahali kwa vile tulikuwa na fujo sana tukaambiwa mkifanya mtihani tu chapeni mwendo, du long time sana
Wapi Hailala Songoro!
Wapi Vumilia Yasini!
Wapi Hamza kalinga !
Mussa kibonya yuko pale stand ya mabasi ,
Wapi somebody Mrema (toto tundu)
Wapi Haji mponda ? nakumbuka brother ulinishawishi kwenda kuiba mahindi shamba la shule tulivyofika tukakuta mtu mwingine anavuna nasi tukaanza kuvuna lkn jamaa alituchenjia na kututoa mbio nilikimbia kutoka pale shambani kuzunguka maduka makubwa, vigaeni,stand, hadi chikongola
Wapi Nurudi phazil!
C mchezo hapa janvin pananipa raha, vii wewe ni class mate wangu?
Wapi Sauda Juma!
Wapi wale wote jamani tukumbukane mimi nilikua natumia jina la Issa Juma niko Arusha naendesha tax
Inabidi tumkumbuke Kikwete.
ha ha ha unajua kuna siku ulisema magamba ni kwenu,nikavuta picha ulivyosema ulikua una kaa maeneo ya kotaz pale za tra then ulikua unasoma sabasaba ukahama,hapa nikawa namkumbuka dada mmoja bonge kias mweusi kias alikua anaitwa D......sema yeye hakua mjanja sana halafu alihamia ligula aka faulu sabasaba.
Ewaaaaa....sasa huyo D alikuwa anapenda kufatana na dada mmoja hivi nae mnene hivi alikuwa anapiga sana misele relwe...alikuwa anaitwa Beatha, ndio mimi.....
yaah ndio intake yetu hiyo.
Ewaaaaa....sasa huyo D alikuwa anapenda kufatana na dada mmoja hivi nae mnene hivi alikuwa anapiga sana misele relwe...alikuwa anaitwa Beatha, ndio mimi.....
Wifi nae bado lipo?
Mtwara raha.C mchezo hapa janvin pananipa raha, vii wewe ni class mate wangu?
Mtwara raha.
oooooooh!.. Chinga One vp tena,mbona wamvutia chobingo huyo mtoto?!!Ha ha ha....beatha,ligula,sabasaba??? Ha ha ha nime kupm.
Huo ni ukweli aisee na walikuwa wanaongozaga kwa scandal mji mzima unamjua fulani kafanya nn na hv mji ulikuwaga mdogoo.
Me nilikuwa Indian Quarters palepale kwenye zile kota za Vigae. Kipindi cha embe tunakoma watoto wenyewe kwa wenyewe tunarusha mawe mpaka tunavunja vigae. Nilikuwa Maeneo ya kwa Mtingita au kwa Msaki kama unawakumbuka maana walikuwaga maarufu enzi hizo ule upande wetu.
Shangwe kafa lini huyo mzee?, alikuwa anapenda kuvaa msuli, au nimemfananisha....kama ndo huyo kawaambie ndugu zake wana mtoto Dar....alizaa na rafiki yangu wakati tunasoma Mangamba