Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kilichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Kwa ujumla mabasi yote ya Mtwara yako standard Machinga,Mtoto wa Mwanza,Buti la zungu, Jm,Maning nice, five alliance na mengineyo.
 
Naona hujasoma mada, umekurupuka!

Soma "mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika".

Kama mleta mada anakiri kipindi hiki ndio umekubukwa ni na nani wa kukumbukwa kwa kuukumbuka mkoa uliokuwa umesahaulika? hakuna zaidi ya baba Ridhwan.
so baba ridhwani ndio kawakumbusha kuwa kuna mkoa unaitwa mtwara kabla ya hapo hata wewe uliusahau,kweli maccm mnavituko
 
Naona hujasoma mada, umekurupuka!

Soma "mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika".

Kama mleta mada anakiri kipindi hiki ndio umekubukwa ni na nani wa kukumbukwa kwa kuukumbuka mkoa uliokuwa umesahaulika? hakuna zaidi ya baba Ridhwan.

halafu ujue wewe bi kidude hii mada haikuhusu kabisa ipitie mbali.
 
Huu uzi burdaani kabisa inanikumbusha zilipendwa mitaa kama maghalani, kisutu, mdenga, likonde,mtepwezi,vigaeni(full kibuku) rahaleo,majengo kwa uchache ni hiyo. Dah kunazi shangani na jengo la nasaco nyuma bandari pembeni pax filling station.

ha ha ha ha! Kwa waliopita zaman Mtwr sasa kuna mitaa mipya kama Nkana red,Chipuputa, Mbez,Comoro, Kilimanjaro, Kilimahewa. Mingi ya mitaa hii zamani ilikuwa ni misitu kama unatoka mjini kuelekea Mikindani via Ufukoni. Sizinga ataongezea mingine maana yeye yuko huko, kwa mfano nmeambiwa kuna mtaa mmoja kule juu inakojengwa hospital ya Rufaa na eneo lililotengwa kwa vyuo lina jina silikumbuki.
 
Kuna mdau mmoja muhimu sana wa Mtwara aitwae The Big Show hajachangia chochote kulikon maana yeye yuko jikon Mtwr lakin kimya
 
Dah leo nilikuwa offline nasafiri, na kesho nina majukumu flaniflani...ntapotea kiaina!!
 
Kuna mdau mmoja muhimu sana wa Mtwara aitwae The Big Show hajachangia chochote kulikon maana yeye yuko jikon Mtwr lakin kimya
Chidi huyo, mtu wangu sana...ngoja nimwite... THE BIG SHOW, ila ana mazali ya kula ban sana huyu,manake anapambana kijeshijeshi tu humu....LOL
 
Last edited by a moderator:
Zaina tulikuwa tunamuita Dubwe yeye na Oska.. Huyo unayemsema anaitwa Haji mwanga ana mdogo wake anaitwa azizi walikuwa wanakaa opposite na kwa napome jirani na nyumba yake marehemu mzee mtingita. Kwa mujegwa yeah napajua kwakina bwinda na jirani yao alikuwa marehemu babu fimbo alikuwa anakujaga mashuleni na mjukuu wake james anamuongelesha kingleza basi watoto wa kayumba tulikuwa tunamuoneaje gere hahaha.
RIP mzee fimbo!!--James ni mwanangu pia, unamfahamu Sunday Matembo? Mzee fimbo alianguka kanisani jumapili ndo kifo chake kilipoanzia...hahaa Azizi Mwanga aka Kagunga...nimekutana nae 1 month back...full kiteta!!
 
Akina Shabani na Athuman Mjengwa, nadhani wapo somewhere hapa dar
 
ha ha ha ha! Kwa waliopita zaman Mtwr sasa kuna mitaa mipya kama Nkana red,Chipuputa, Mbez,Comoro, Kilimanjaro, Kilimahewa. Mingi ya mitaa hii zamani ilikuwa ni misitu kama unatoka mjini kuelekea Mikindani via Ufukoni. Sizinga ataongezea mingine maana yeye yuko huko, kwa mfano nmeambiwa kuna mtaa mmoja kule juu inakojengwa hospital ya Rufaa na eneo lililotengwa kwa vyuo lina jina silikumbuki.

km sikosei ni mji mwema huko
 
Huu uzi burdaani kabisa inanikumbusha zilipendwa mitaa kama maghalani, kisutu, mdenga, likonde,mtepwezi,vigaeni(full kibuku) rahaleo,majengo kwa uchache ni hiyo. Dah kunazi shangani na jengo la nasaco nyuma bandari pembeni pax filling station.

Vigaeni sasa pamebomolewa kweupee ule upande ws rahaleo sekondari ndio nasikia wanajenga Bot
 
mtwara ya zamani si ya sasa Mtwara kumekucha , mimim shule zangu zote nisoma ntwara hali iikuwa inatisha ,wakati mwingine nasema serikali imefanya kazi pamoja na kwamba kasi ya maendeleo ireyional lakini jitihada hipo
 
RIP mzee fimbo!!--James ni mwanangu pia, unamfahamu Sunday Matembo? Mzee fimbo alianguka kanisani jumapili ndo kifo chake kilipoanzia...hahaa Azizi Mwanga aka Kagunga...nimekutana nae 1 month back...full kiteta!!
Akina Shabani na Athuman Mjengwa, nadhani wapo somewhere hapa dar

Sizinga huyo jamaa matembo ulisoma nae mtwara tech nakumbuka aluikuaga mlokole baada ya kuona ulokole na shule haviendani akaanza kuwa msela wa kufa mtu.
 
Last edited by a moderator:
mtwara ya zamani si ya sasa Mtwara kumekucha , mimim shule zangu zote nisoma ntwara hali iikuwa inatisha ,wakati mwingine nasema serikali imefanya kazi pamoja na kwamba kasi ya maendeleo ireyional lakini jitihada hipo

zamani ulikua ukumuona mtu ana kunywa soda unamuona ana hela kweli kweli vitu vilikua bei juu kweli daah nyerere ame tutesa sana mtwara.ilikua umeme unaweza kukatika miezi mitatu eti kisa hakuna mafuta ya kurun mitambo ya umeme looh mtwara hiyo.
 
Chidi huyo, mtu wangu sana...ngoja nimwite... THE BIG SHOW, ila ana mazali ya kula ban sana huyu,manake anapambana kijeshijeshi tu humu....LOL

huyo jamaa ana matusi kweli kweli ila nampa heko ishu ya gesi alikua ana iripoti vyema kabisa na ikampa umaarufu mkubwa sana jf.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom