Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Kwa ujumla mabasi yote ya Mtwara yako standard Machinga,Mtoto wa Mwanza,Buti la zungu, Jm,Maning nice, five alliance na mengineyo.
 
so baba ridhwani ndio kawakumbusha kuwa kuna mkoa unaitwa mtwara kabla ya hapo hata wewe uliusahau,kweli maccm mnavituko
 
halafu ujue wewe bi kidude hii mada haikuhusu kabisa ipitie mbali.
 
Huu uzi burdaani kabisa inanikumbusha zilipendwa mitaa kama maghalani, kisutu, mdenga, likonde,mtepwezi,vigaeni(full kibuku) rahaleo,majengo kwa uchache ni hiyo. Dah kunazi shangani na jengo la nasaco nyuma bandari pembeni pax filling station.

ha ha ha ha! Kwa waliopita zaman Mtwr sasa kuna mitaa mipya kama Nkana red,Chipuputa, Mbez,Comoro, Kilimanjaro, Kilimahewa. Mingi ya mitaa hii zamani ilikuwa ni misitu kama unatoka mjini kuelekea Mikindani via Ufukoni. Sizinga ataongezea mingine maana yeye yuko huko, kwa mfano nmeambiwa kuna mtaa mmoja kule juu inakojengwa hospital ya Rufaa na eneo lililotengwa kwa vyuo lina jina silikumbuki.
 
Kuna mdau mmoja muhimu sana wa Mtwara aitwae The Big Show hajachangia chochote kulikon maana yeye yuko jikon Mtwr lakin kimya
 
Dah leo nilikuwa offline nasafiri, na kesho nina majukumu flaniflani...ntapotea kiaina!!
 
Kuna mdau mmoja muhimu sana wa Mtwara aitwae The Big Show hajachangia chochote kulikon maana yeye yuko jikon Mtwr lakin kimya
Chidi huyo, mtu wangu sana...ngoja nimwite... THE BIG SHOW, ila ana mazali ya kula ban sana huyu,manake anapambana kijeshijeshi tu humu....LOL
 
Last edited by a moderator:
RIP mzee fimbo!!--James ni mwanangu pia, unamfahamu Sunday Matembo? Mzee fimbo alianguka kanisani jumapili ndo kifo chake kilipoanzia...hahaa Azizi Mwanga aka Kagunga...nimekutana nae 1 month back...full kiteta!!
 
Akina Shabani na Athuman Mjengwa, nadhani wapo somewhere hapa dar
 
km sikosei ni mji mwema huko
 
Huu uzi burdaani kabisa inanikumbusha zilipendwa mitaa kama maghalani, kisutu, mdenga, likonde,mtepwezi,vigaeni(full kibuku) rahaleo,majengo kwa uchache ni hiyo. Dah kunazi shangani na jengo la nasaco nyuma bandari pembeni pax filling station.

Vigaeni sasa pamebomolewa kweupee ule upande ws rahaleo sekondari ndio nasikia wanajenga Bot
 
mtwara ya zamani si ya sasa Mtwara kumekucha , mimim shule zangu zote nisoma ntwara hali iikuwa inatisha ,wakati mwingine nasema serikali imefanya kazi pamoja na kwamba kasi ya maendeleo ireyional lakini jitihada hipo
 
Sizinga huyo jamaa matembo ulisoma nae mtwara tech nakumbuka aluikuaga mlokole baada ya kuona ulokole na shule haviendani akaanza kuwa msela wa kufa mtu.
 
Last edited by a moderator:
mtwara ya zamani si ya sasa Mtwara kumekucha , mimim shule zangu zote nisoma ntwara hali iikuwa inatisha ,wakati mwingine nasema serikali imefanya kazi pamoja na kwamba kasi ya maendeleo ireyional lakini jitihada hipo

zamani ulikua ukumuona mtu ana kunywa soda unamuona ana hela kweli kweli vitu vilikua bei juu kweli daah nyerere ame tutesa sana mtwara.ilikua umeme unaweza kukatika miezi mitatu eti kisa hakuna mafuta ya kurun mitambo ya umeme looh mtwara hiyo.
 
Chidi huyo, mtu wangu sana...ngoja nimwite... THE BIG SHOW, ila ana mazali ya kula ban sana huyu,manake anapambana kijeshijeshi tu humu....LOL

huyo jamaa ana matusi kweli kweli ila nampa heko ishu ya gesi alikua ana iripoti vyema kabisa na ikampa umaarufu mkubwa sana jf.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…