Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

 
Ndugu yangu anatarajia kusafiri kwenda MTWARA siku chache zijazo, hivyo mwenye update zozote kuhusu hali ya barabara na ongezeko la magari yenye viwango ili awe na uhuru wa kuchagua gari la kusafiria.

 
Ndugu yangu anatarajia kusafiri kwenda MTWARA siku chache zijazo, hivyo mwenye update zozote kuhusu hali ya barabara na ongezeko la magari yenye viwango ili awe na uhuru wa kuchagua gari la kusafiria.

gari nyingi sana na mzuri zinaenda mtwara ila services ndio zinatofautiana, barabara imebakia kipande kidogo sana ambacho akiaribu ratiba ya ma bus, vile vile kutokea stand ya mbagala yako mabasi ya saa 12 asubui, yako ya saa 2 asubui, saa 4 hadi saa 6 mchana,
nakutakia safari njema
mtwara kuchele bwana
 

Attachments

  • 1415981037693.jpg
    123.7 KB · Views: 172

Magari unachagua tu linalokufaa. Yako mengi tena mazuri kwa muda uutakao. Hakuna ulazima tena kuJIHIMU/ kuamka mapema ili uwahi gari la saa12 kama ilivyokuwa zaman. Siku hiz option ni saa12, 2,3,4,6!
 
Taarifa za karibuni ni kuwa kipande cha Ndundu-Somanga kimekamilika. Naomba kupata ukweli wa taarifa hii kwa waliopita barabara hii kwa siku za hivi karibuni. Na hali ya usafiri imobereka kwa kiasi gani baada kumalizika hizo kilomita 60: ubora wa magari na muda wa safari.

 
ni kweli Barabara imekamilika, mabasi mazuri yanaendelea kuongezeka na muda wa kusafiri umepungua hadi Masaa matano tu kutoka lindi hadi dar
 
ni kweli Barabara imekamilika, mabasi mazuri yanaendelea kuongezeka na muda wa kusafiri umepungua hadi Masaa matano tu kutoka lindi hadi dar

ni kweli mkuu nimetoka juzi mtwara saa 6,kwenye saa 1 na nusu nikawa mbagala
 
ni kweli Barabara imekamilika, mabasi mazuri yanaendelea kuongezeka na muda wa kusafiri umepungua hadi Masaa matano tu kutoka lindi hadi dar

Asante kwa ufafanuzi wako. Tuna kila kuulizia hilo maana hii barabara imetutesa sana, na hali yake ya sasa utadhani ndoto. Labda kupitia thread hii hii tunaweza kuweka uzoefu wetu kwa barabara hii enzi hizo hayts kabla ya daraja la rufiji.
 
Hongereni sana watu wa Mtwara kwa kupata luxury buses na vile vile hongera ziende kwa ndugu zangu wa kule Mbeya kwa kupata lift jengo la kwanza lenye lift. Mdogo mdogo Tanzania tutafika mbali.
 
Inabidi tumkumbuke Kikwete.


Kiwete hana jipya zaidi ya UFISADI uliokithiri. LAbda tumkumbuke kama hilo basi alilosafiria huyu ndugu ni mali ya KIKWETE

Hii miradi ya barabara mingi ilikuwa ni ile aliyoiacha MKAPA.

Hasa daraja la kusini pamoja na barabara ya kusini.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

Daraja lile kwa inforation yako, ni jitihada binafsi za ASli Hassan Mwinyi, Mkapa alipokuwepo ni mradi ulipoidhinishwa, Mwinyi ndiye kinara wa kupata fedha na wafadhili wa ule mradi, Serikali ya Kuwait.
 
Daraja lile kwa inforation yako, ni
jitihada binafsi za ASli Hassan Mwinyi,
Mkapa alipokuwepo ni mradi
ulipoidhinishwa, Mwinyi ndiye kinara
wa kupata fedha na wafadhili wa ule
mradi, Serikali ya Kuwait.
 
Week end hii nimesafiri katika njia hii, safari ilikuwa mzuri sana kwani tumetumia muda mfupi na basi lenye uhakika pia hakuna tena kupita kwenye vumbi. Nimeondoka Jumamosi asubuhi, saa 6:30 nilikuwa Lindi na jana saa 7:40 nilikuwa DSM. Naona makonda Mabaunsa nao sasa wamekosha kazi, wamebaki kupiga debe tu. Makondakta wa sasa ni wastaarabu na wasafi.

 
Enzi hizo natoka ntwala 1999 kwenda dar kuna sehemu inaitwa nangulukulu ukifika hapo ni bora tu mtoe majiko yenu muanze kupika kabisa manake mvua ikinyesha hata 4X4 inakoma.CCM kwa hilo wamejitahidi tuache upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…