shajagikingu
Member
- Aug 26, 2014
- 13
- 0
Kweli kaka nakumbuka meli moja Canadian sport miaka ya tisin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only 25,000
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.
Kilichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.
Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Ndugu yangu anatarajia kusafiri kwenda MTWARA siku chache zijazo, hivyo mwenye update zozote kuhusu hali ya barabara na ongezeko la magari yenye viwango ili awe na uhuru wa kuchagua gari la kusafiria.
mpe itakua vizuri
maeneo ya kisutu kuna kwa wabradha y
ndo km kwa wahaya tandika,kimboka buguruni na manzese vile
wifi zipo zinaenda masasi
km sikosei ni mji mwema huko
Ilishakufa...we ulisoma na akina dovick eeh?elezian, anord...hahaaa
gari nyingi sana na mzuri zinaenda mtwara ila services ndio zinatofautiana, barabara imebakia kipande kidogo sana ambacho akiaribu ratiba ya ma bus, vile vile kutokea stand ya mbagala yako mabasi ya saa 12 asubui, yako ya saa 2 asubui, saa 4 hadi saa 6 mchana,
nakutakia safari njema
mtwara kuchele bwana
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.
Kilichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.
Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.
ni kweli Barabara imekamilika, mabasi mazuri yanaendelea kuongezeka na muda wa kusafiri umepungua hadi Masaa matano tu kutoka lindi hadi darTaarifa za karibuni ni kuwa kipande cha Ndundu-Somanga kimekamilika. Naomba kupata ukweli wa taarifa hii kwa waliopita barabara hii kwa siku za hivi karibuni. Na hali ya usafiri imobereka kwa kiasi gani baada kumalizika hizo kilomita 60: ubora wa magari na muda wa safari.
ni kweli Barabara imekamilika, mabasi mazuri yanaendelea kuongezeka na muda wa kusafiri umepungua hadi Masaa matano tu kutoka lindi hadi dar

Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Kiwete hana jipya zaidi ya UFISADI uliokithiri. LAbda tumkumbuke kama hilo basi alilosafiria huyu ndugu ni mali ya KIKWETE
Hii miradi ya barabara mingi ilikuwa ni ile aliyoiacha MKAPA.
Hasa daraja la kusini pamoja na barabara ya kusini.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
kwangu mimi ni habari kubwa sana kwa vile nikikumbuka tulivyokua tunaenda pale kisutu kupokea watu wa kusini' ndugu yako akiteremka kwenye bus unaweza kumkimbia au kumsahau jinsi alivyokuwa na vumbi hadi nguo ya ndani na begi lake limepasuka, mabasi ayo ayo yalikua ayamthamini abiria, siti inauzwa ata mara tatu, unakalia siti ngumu kama vile umekalia chuma, bus la abiria 80 munashindiliwa watu 160, sasa we ukisema ujaona km ni habari kubwa inaonyesha bado hujajitambua (tembea oune)