Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Labda Mzee Tenga.
 
Wale jamaa ni weupe kwa rangi na ni wapole sana.
 
ndio kwao kulikuwa na mzambarau pia.
yule mbwa alikufaga....mbwa wenzie walimla mande.kule bwawani kwenye mbuyu....alipora demu.
Kwetu ndio mlikuwa mnakusanyikaga kupopoa embe....hahahaha

Unakumbuka dukani kwa Hamisi?
Duka la chini.
 
Akiitwa Brother Wini sijui Mawini
 
Mmarekani yupo ila kafulia,anadili na biashara flani misheni town, siku moja kailaza gari ya dili pale Jagaju akaisahau...imekaa pale mwezi nzima haijulikani.
Kumbe myth juu ya Mmarekani mweusi ni kweli, hilo jina lilikuwa kubwa sana pale mjini.
 
Nahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda.
Nisafirije? Basi gani?
Ratiba ya mabasi ikoje?
 
Haji Mwanga?.
 
Nahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda.
Nisafirije? Basi gani?
Ratiba ya mabasi ikoje?
Nenda mbagala au temeke sudani,kuna gari nyingi za kusini,panda gari zinazokuja masasi.

Kwa sasa magari mazuri yanapatikana muda wa jioni kuanzia sa 12 hadi sa3 usiku.

Gari nzuri ni Buti la zungu,Maning nive,warda,.

Kawasalimu kusini ndanda masasi.
 
Kwa kina Sara na Messe
 
Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo:
Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Masasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…