Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Hahaaa Chinga jamani umepita mulemule Napome wote nawajua hadi yule mdogo Kesi Napome, Ahmad Watanga bado yupo nadhani anafanya Safari Radio product ya Ligula hiyo mkali wa basketi Sabasaba japo alikuwa mfupi, Oscar Dubwe alikuwa mtani wangu mkubwa anakaa jirani na kwa mzee Kachepa mitaa ileile ya kwa Lungu,Vero Lungu na Desi wote nawapata.. Zaina Mtingita nimecheza nae sana kwao palikuwa ni jirani na kwa Mzee Kazimoto na kwakina Deo Msaki hahaaa ule mtaa sijui nimemsahau nani.
Labda Mzee Tenga.
 
Weweeeeeee.....mbona sikupati.
Unajua nataka kukufananisha.
nakumbuka nilianza mahusiano na Saidi Mbelenje, tulikutana ndani ya basi la Wifi enzi nasoma Ligula, ukoo mkubwa lakini watoto wao wa kiume woooote madomo zege.
Sheila, Mustapha, Jaida wote hao nilikuwa nawajua.
Wale jamaa ni weupe kwa rangi na ni wapole sana.
 
ndio kwao kulikuwa na mzambarau pia.
yule mbwa alikufaga....mbwa wenzie walimla mande.kule bwawani kwenye mbuyu....alipora demu.
Kwetu ndio mlikuwa mnakusanyikaga kupopoa embe....hahahaha

Unakumbuka dukani kwa Hamisi?
Duka la chini.
 
Duka pekee lilokuwa maarufu mtaani si tulikuwa tunaliita duka la chini.. Alikuwa na mtoto anaitwa Bahati Hamisi alikuwa rafiki yangu tulikuwa tunamtumaga akaibe mchele wa madangi hahaha alafu opposite palikuwa na mkaanga chipsi maarufu alikuwa na genge lake pale chini ya mbuyu,staki kuamini kama nmemsahau jina,basi tukitumwa dukani kwa Hamisi chenji ikibaki tunapitia chipsi then tunasepa.
Akiitwa Brother Wini sijui Mawini
 
Mmarekani yupo ila kafulia,anadili na biashara flani misheni town, siku moja kailaza gari ya dili pale Jagaju akaisahau...imekaa pale mwezi nzima haijulikani.
Kumbe myth juu ya Mmarekani mweusi ni kweli, hilo jina lilikuwa kubwa sana pale mjini.
 
Nahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda.
Nisafirije? Basi gani?
Ratiba ya mabasi ikoje?
 
Zainabu mtingita bonge la mtu,pale nyuma kulikua na jamaa paulo sufiani,kule karibia kwa napome nyumba ya njano kuna jamaa flani anaitwa haji nani sijui blazameni flani hivi walihama lakini,halafu ukienda kule bondeni kulikua na mujengwa family,pale mkwajuni karibia na kwakina deo msaki kulikilua na jamaa sheha musa ha ha ha,na hamisi pale mbuyuni,kuna kota moja pale walikua wanakaa wakina hashimu kamchacho daah those days kwa kweli ilikua raha sana.
Haji Mwanga?.
 
Nahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda.
Nisafirije? Basi gani?
Ratiba ya mabasi ikoje?
Nenda mbagala au temeke sudani,kuna gari nyingi za kusini,panda gari zinazokuja masasi.

Kwa sasa magari mazuri yanapatikana muda wa jioni kuanzia sa 12 hadi sa3 usiku.

Gari nzuri ni Buti la zungu,Maning nive,warda,.

Kawasalimu kusini ndanda masasi.
 
Hahahahaha......sasa nyumba ya baba Hanifa hii
yetu ilikuwa ile ya nyuma yake, Baba Hanifa alikuwa na mwanae Saidi, mwembambaaaaaa, hahahaha maskini bikira yangu, Saidi mbaya weweeee....hahahhaha.
Nasikia pacha mmoja alifariki jamani aliumwa.
Unakumbuka tulipokuwa tunacheza rede ya vipande?...kuleeeeee kwenye mwembe karibu na kwa Mzee Mwakyoma
Kwa kina Sara na Messe
 
Nenda mbagala au temeke sudani,kuna gari nyingi za kusini,panda gari zinazokuja masasi.

Kwa sasa magari mazuri yanapatikana muda wa jioni kuanzia sa 12 hadi sa3 usiku.

Gari nzuri ni Buti la zungu,Maning nive,warda,.

Kawasalimu kusini ndanda masasi.
Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo:
Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Masasi
Nenda mbagala au temeke sudani,kuna gari nyingi za kusini,panda gari zinazokuja masasi.

Kwa sasa magari mazuri yanapatikana muda wa jioni kuanzia sa 12 hadi sa3 usiku.

Gari nzuri ni Buti la zungu,Maning nive,warda,.

Kawasalimu kusini ndanda masasi.
 
Back
Top Bottom