Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Yaani kile kipande nyoko kweli, mie nikifika pale lazima nisimame maana naogopa kupasuka makalio yangu....kipande hakiishi tu.
kwi kwi kwi !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kile kipande nyoko kweli, mie nikifika pale lazima nisimame maana naogopa kupasuka makalio yangu....kipande hakiishi tu.
hahahaa!!we kumbe ulikua mtata sana enzi zako!!
Kweli Kusini sasa kumekucha nakumbuka miaka ile ya 1992/95, nasoma Ndanda Sec/ basi la ALHAMDULILAH tulikwama pale katika Kijiji cha Kilanjelanje tulikaa siku 11, nafika Shule sina hata sent tano nimekula mpaka Ada,
Ajali nyingi ziko kaskazini huku kusini ni shwari sana kulikoni?
Au wale wajanja wa kutafuta hela wanatoa makafara kwa wengine?
wamebeba wazungu vingii sana asa hv viko juu
mi nilikua mtwara kikazi nimehama ila naweza nikakuulizia maana hua naendaga
Mie nikishaiona Mikindani tu, moyo kunemenya kufurahi na ming'oko bila kusahau Chikandanga
Hauko peke yako.....mie nakumbuka basi la Akida Zumbwi, tulilala Lindi siku 6, nilipoteza kuanzia ada mpaka mie mwenyewe nilipotea
yMkuu Gen naomba tusaidie kufanya karisechi kama tunawkoeza kupata na bei zake zikoje
Pande za Ligula, Shangani (kuna fukwe nzuri sana huku), Magomeni (hapa kuna klabu moja ya pombe chafu nilikuwa naenda sana kulewa)....maeneo ya Msangankuu....
Mtwara iko bomba sana.
Pande za Ligula, Shangani (kuna fukwe nzuri sana huku), Magomeni (hapa kuna klabu moja ya pombe chafu nilikuwa naenda sana kulewa)....maeneo ya Msangankuu....
Mtwara iko bomba sana.
hahahaaa we mtu ni shiidah, ulipotea?
Jamani bus gani zuri linakwenda Newalabus linaitwa Jm luxury coach nimesafiri nalo terehe 24-oct 2014 uzuri mungine ni kwamba bus hizo huwa zinaongozana mbili kutoka dar mpaka mnazi mmoja ndio zinaachana njia,moja inaenda masasi nyingine mtwara
kwi kwi kwi kwi, alikosa na nywele akaamrisha wanafunzi wanyoe