Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana,

Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
 
Kidia One, Extra Luxury & Marangu Coach, Kilimanjaro, Dar Express etc..!!!
 
mkuu panda ester hizi basi zinautaratibu mzuri zipo zinazoanzia kigamboni ,mbagala,chanika, so kama unatokea pande zozote za jiji ni rahisi kwa heka heka za kudamka
 
Habari zenu mabibi na mabwana,naombeni kuuliza usafiri wa moshi kutokea dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama mbezi napo nijue,
Ni kwanini umelabel kichwa cha habari kama Tetesi?
 
ATCL au Precision Air ndiyo usafiri unaofaa kwa mtu anayejali muda wake.
 
mkuu panda ester hizi basi zinautaratibu mzuri zipo zinazoanzia kigamboni ,mbagala,chanika, so kama unatokea pande zozote za jiji ni rahisi kwa heka heka za kudamka
Nauli ni kiasi gani kama unajua,na je usafiri wao unaanzia pale shekilango ama mbezi
 
Back
Top Bottom