Usafiri wa Umma Kenya-The Matatu Madness

Kweli yako...kibera ndipo atakutana na wakenya halisi...lkn kwengine atajikanganya..atakutana na wazungu na akina kenyatta..so hato enjoy kitu
Hapo ndio ninapowapendea wakenya, jinsi mnavyoweza kutangaza utalii wenu, Kibera ni sehemu mpya sana ukilinganisha na Masai Mara au Tsavo, lakini sasa hivi unapotaka kutembelea sehemu za utalii Kenya, wakenya wengi watakushairi kutembelea "Kibera National Park".
 
Kule kunaishi wanyama sio watu kibera
Unawezaje Ishi mazingira kama yale
 
Hawakukosea waliposema kwamba nyaoni haoni kundule. Watz mnadhani hatujui kuhusu zile daladala zenu za kubebea mifugo.
usafiri_dar.jpg
Hata kwenye mabasi ya BRT nyani ni wale wale.
dpitnwrxuaatjg9-jpg.894451
 
Video ikifika 1:00 huyo askari ndani ya gari kasahau kilichompeleka anaangalia mkia tu
 
Wakenya wenye ndoto za kufika Dar via Tanga kutoka Mombasa furahini maana likikamilika itakuwa ni dakika chache tu unafika beautiful city Dar es salaam [emoji23][emoji23][emoji23]

Tena panajaa sana siku hz
Hapo ndio ninapowapendea wakenya, jinsi mnavyoweza kutangaza utalii wenu, Kibera ni sehemu mpya sana ukilinganisha na Masai Mara au Tsavo, lakini sasa hivi unapotaka kutembelea sehemu za utalii Kenya, wakenya wengi watakushairi kutembelea "Kibera National Park".
 
ukiweka picha toa na maelezo kidogo si kila mtu anaelewa hiyo picha pambaf
 
Hawakukosea waliposema kwamba nyaoni haoni kundule. Watz mnadhani hatujui kuhusu zile daladala zenu za kubebea mifugo.
usafiri_dar.jpg
Hata kwenye mabasi ya BRT nyani ni wale wale.
dpitnwrxuaatjg9-jpg.894451
Hivi kupitia dirishani ktk gari lililosimama na hao wanaoendesha magari hadi kugonga gari la POLISI unalinganishaje?, ajali gani inawezs kusababishwa kwa kupitia dirishani?
 
Usafiri was magari huko Dar hautoshelezi wasafiri...ndio maana watu wanang'ang'ana kuingia kwenye gari...Dead State 😂😂😂
 
Hayo magari ni ya matajiri wakikuyu. Unamwona polisi wana hofu kuwaguza mungiki hao kwa sababu wakikosoa watafutwa kazi ama kupewa transfer kwenda kufanya kazi kule turkana.
 
Kweli kenya hakuna serikali, [emoji2][emoji2]
Failed state
 
Hayo magari ni ya matajiri wakikuyu. Unamwona polisi wana hofu kuwaguza mungiki hao kwa sababu wakikosoa watafutwa kazi ama kupewa transfer kwenda kufanya kazi kule turkana.

Halafu hiyo migari yao huwa ina sura mbaya kishenzi. utadhani mdudu fulani. Dah haya majitu sijui yatabadilika lini
 
FB_IMG_15687463997357345.jpg
FB_IMG_15687463704772212.jpg
FB_IMG_15687463641684424.jpg
FB_IMG_15687462906685938.jpg
FB_IMG_15687462853093712.jpg
FB_IMG_15687461981090963.jpg
FB_IMG_15687462810170606.jpg

Halafu hiyo migari yao huwa ina sura mbaya kishenzi. utadhani mdudu fulani. Dah haya majitu sijui yatabadilika lini
Hii industry imewapa vijana wengi ajira. Kwa mfano sanaa ya kuchora, wengine shughuli za sound usisahau utingo na dereva wake na washika dau kwenye SACCOS!
FB_IMG_15687461981090963.jpg
FB_IMG_15687462810170606.jpg

FB_IMG_15687464571053380.jpg
 
Back
Top Bottom