babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
[emoji168] [emoji168] [emoji168]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wazo baya Ila mjue mtakua watumwa wetu.Du !!!sasa wakenya siwakubali tu tuwatawale magufuli awe raisi wa Kenya hawa wamesha shindwa kujisimamia
Hapo ndio ninapowapendea wakenya, jinsi mnavyoweza kutangaza utalii wenu, Kibera ni sehemu mpya sana ukilinganisha na Masai Mara au Tsavo, lakini sasa hivi unapotaka kutembelea sehemu za utalii Kenya, wakenya wengi watakushairi kutembelea "Kibera National Park".Kweli yako...kibera ndipo atakutana na wakenya halisi...lkn kwengine atajikanganya..atakutana na wazungu na akina kenyatta..so hato enjoy kitu
Kule kunaishi wanyama sio watu kiberaHapo ndio ninapowapendea wakenya, jinsi mnavyoweza kutangaza utalii wenu, Kibera ni sehemu mpya sana ukilinganisha na Masai Mara au Tsavo, lakini sasa hivi unapotaka kutembelea sehemu za utalii Kenya, wakenya wengi watakushairi kutembelea "Kibera National Park".
These are the most uncivilized humans on Earth
Hapo ndio ninapowapendea wakenya, jinsi mnavyoweza kutangaza utalii wenu, Kibera ni sehemu mpya sana ukilinganisha na Masai Mara au Tsavo, lakini sasa hivi unapotaka kutembelea sehemu za utalii Kenya, wakenya wengi watakushairi kutembelea "Kibera National Park".
Hivi kupitia dirishani ktk gari lililosimama na hao wanaoendesha magari hadi kugonga gari la POLISI unalinganishaje?, ajali gani inawezs kusababishwa kwa kupitia dirishani?Hawakukosea waliposema kwamba nyaoni haoni kundule. Watz mnadhani hatujui kuhusu zile daladala zenu za kubebea mifugo.Hata kwenye mabasi ya BRT nyani ni wale wale.![]()
![]()
Kule kunaishi wanyama sio watu kibera
Unawezaje Ishi mazingira kama yale
Kunyaland Failed State 😂😂😂😂Kenya ni "Jungle", hakuna utawala wa sheria, very hopeless country. Purely failed state.
Usafiri was magari huko Dar hautoshelezi wasafiri...ndio maana watu wanang'ang'ana kuingia kwenye gari...Dead State 😂😂😂Hivi kupitia dirishani ktk gari lililosimama na hao wanaoendesha magari hadi kugonga gari la POLISI unalinganishaje?, ajali gani inawezs kusababishwa kwa kupitia dirishani?
Hayo magari ni ya matajiri wakikuyu. Unamwona polisi wana hofu kuwaguza mungiki hao kwa sababu wakikosoa watafutwa kazi ama kupewa transfer kwenda kufanya kazi kule turkana.
Hayo magari ni ya matajiri wakikuyu. Unamwona polisi wana hofu kuwaguza mungiki hao kwa sababu wakikosoa watafutwa kazi ama kupewa transfer kwenda kufanya kazi kule turkana.
Hii industry imewapa vijana wengi ajira. Kwa mfano sanaa ya kuchora, wengine shughuli za sound usisahau utingo na dereva wake na washika dau kwenye SACCOS!Halafu hiyo migari yao huwa ina sura mbaya kishenzi. utadhani mdudu fulani. Dah haya majitu sijui yatabadilika lini