Wapuuzi tu hawa. Neno free delivery linawadanganyaMtu ana nunua TV ya milioni ila anashindwa kutafuta usafiri mzuri kwa elfu 50 Tu. Hivyo hivyo hata Friji mtu ana nunua la milioni ila anapakia kwenye boda boda...wanalidondosha chini wanafuta futa vumbi wanakufikishia wanakwambia litulize washa baadae...ndio imeisha hivyoo..
Kuna shida sana kwenye uelewa wa watu. Au sijui ni mazoea au ndio kubana matumizi
Mkuu ukaamua ukae kimya tu 😃Aisee, kuna mtu leo anapelekewa TV mbovu, nimeona kabisa imeangushwa hapo Kimara na bodaboda. TV ya Kichina something Star nn sijui. Sema ndogo 32”
Mimi nikitoa Mil 1 ninunue TV haunishawishi kwa free delivery. Naifuata na request bolt ya gari narudi home.
Nilishindwa kupiga picha. Yaani kama haina crack kwenye kioo basi kuna mtu kashaiweka ukutani sahiviMkuu ukaamua ukae kimya tu 😃
Wapuuzi tu hawa. Neno free delivery linawadanganya
Hakunaga maelewano ni kubadili mali tu.Je kama umeshalipa kwa lipa namba
Yani mteja amenunua bidhaa kwako yenye thamani zaidi ya 1M+ unashidnwa kumsafirishia kwenye usafiri salama na wenye hadhi sawa na mali alionunua? Hivi customer care Tz bado tatizo sana!Hapo mteja anafanyiwa delivery,ni wauzaji ndio wanarisk hivyo sio mteja.
Mzigo ukishakua kwenye boda hivyo huo bado ni mali ya sisi wauzaji, chochote kitakachotokea kinamhusu muuzaji sio mteja