Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

Maskini πŸ˜„, jamaa aliyenunua Tv kashapigwa na kitu kizito aseee
 
Mali kama hiyo bora niifate mwnyw na niisafirishe kwa njia nayoona ni sahihi ila sio kwa boda, hata bajaji pia sitaki aisee.

Bora nichukue taxi nilipie Hata 30k mana huwezi kupata 2M afu ukose 30k
Ni kweli kabsa yaani TV ni Milioni 2+ halafu unaweka mzigo kwenye boda ya buku 5 πŸ˜ƒ aisee TV imepigwa mapira tu
 
Hapo akifika mataa anataka kuvuka bila kusubiri green lights upande mwingine mwehu mwenzie wa boda naye hataki kusubiri wanakutana Kati.
Anapigwa T biashara inaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…