Unapigiwa simu kuwa anakaribia kufika hivyo lipa kwa lipa namba chapHapo akifika mataa anataka kuvuka bila kusubiri green lights upande mwingine mwehu mwenzie wa boda naye hataki kusubiri wanakutana Kati.
Anapigwa T biashara inaishia hapo.
Akanioigia mimi akawa analia,sasa akawapigia dukani wakamwambia subiria tuongee na boss,nikamwambia dukani hawana makosa,ungetoa 10,000 ungechukua bajaji yote yasingetokea badala yake akataka kulipa 600ndio kama hivyoDuuh hapo lazima kichwa kiumie balaa
Hapo imekula kwakeAkanioigia mimi akawa analia,sasa akawapigia dukani wakamwambia subiria tuongee na boss,nikamwambia dukani hawana makosa,ungetoa 10,000 ungechukua bajaji yote yasingetokea badala yake akataka kulipa 600ndio kama hivyo
Safi mkuu! Kuliko kupokea TV imefungwa mapira nyuma ya boda aiseeIliwahi nikuta hii, nilinunua Tv, Hisense nch 40.
Mie nilijua wananileleta kwa Uber au tax, nyie naletewa iko kwa boda afu kishandu.
Dadekiii nilimuambia rudisha uliko itoa, na ikabadilishwe, sina hakika km iko salama hii,
Tukaanza kuzozana na boda yule, mara nikawarukia dukani, wanajibu vipi mbna mwenzio aliyekuja dukani kakubali ipakiwe kwa boda, (nilimuagiza mtu akanichukulie pale).
Nikawaambia free delivery ndo huyu kishandu? Msinitanie nakuja huko huko dukani, na niliwaendea tulisanukiana hapo, nikabadilisha na nikakodi tax kurudi nayo home.
Sina utani na pesa zangu, bora unichezee mie, ila sio vitu vyangu. Lol
Buku 5 ni ya umbali gani?Friji ya Milioni 1+ unaipakia kwenye boda ya buku 5 π
Wee nch 40 ifungwe kwa boda afu kishandu, nna hela ya kuchezea au?Safi mkuu! Kuliko kupokea TV imefungwa mapira nyuma ya boda aisee
πππ hatari sanaComment ni ya moto kama ni mimi vile ndio wameniuzia hiyo TV π π π
πππ acha basi unaweza kuzimia kwa mshtukoPesa yenyewe umejichanga miaka mitano tangu enzi za JPM ili tuu macho yaangalie nuru Afu uje uchezee kwenye boda kwa buku 5, hapana aisee
Mkuu inch kuanzia 58 kwenye gari ndogo haiingii kabsa labda uwe na gari kubwa mfano wa harrier au uagize ki carry hapo itabebaAisee, kuna mtu leo anapelekewa TV mbovu, nimeona kabisa imeangushwa hapo Kimara na bodaboda. TV ya Kichina something Star nn sijui. Sema ndogo 32β
Mimi nikitoa Mil 1 ninunue TV haunishawishi kwa free delivery. Naifuata na request bolt ya gari narudi home.
Ist mwsho inabeba inch 55 tena hapo umelaza siti zoteYani mteja amenunua bidhaa kwako yenye thamani zaidi ya 1M+ unashidnwa kumsafirishia kwenye usafiri salama na wenye hadhi sawa na mali alionunua? Hivi customer care Tz bado tatizo sana!
Wew mwambie bei ya Tv mfano ni Tsh 1,560,000 ukijua hiyo elfu 60 ni for delivery pakia kwenye IST mfikishie kwake.
Hii kitu mbona kawaida sana, unaona TV online, unachagua mnapatana bei na muuzaji. Mzigo unafungwa kwenye bodaboda huo mpaka kwenu Kimara, ukifika TV inatolewa inafanyiwa testing kila kitu kiko sawa unamlipa bodaboda hela ya Tv anasema. Kama kuna issue yeyote kwenye TV au kama ni tofauti na uliyochagua inarudi kariakoo unabadilishiwa nyingine. Ina save muda na pesa pia maana kwenda kuzunguka zunguka kkoo nayo ni mziki. Mm nina Hisense TV hapa home ilinunuliwa kwa mtindo huo mwaka 2021 mpka leo inapiga kazi fresh kabisa, pia mwaka 2023 nikanunua fridge kwa mtindo huo huo mpka leo barafu kama yote.Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza kupata milion 1+ kwaajili yakununua tv ya ndoto yako kwanini ushindwe kutoa elfu 50 ya usafiri tv yako ifike salama bila wasiwasi??
View attachment 3479538
Hivi kweli tv ya milioni 1+ kama hii ubebe kwenye bodaboda Kariakooo hadi Tabata?? Ebu njooni tuzungumze tuweke wazi tatzo huwa lipo wapi? Yaani mnapata ugumu gani kutoa pesa ya usafiri kwa tv kubwa kama hizi?
Huo unakuwa ukatiri wa kijinsia.Mama wa mtoto atajua hajui ninamkula
TV 65" hivi vigari vyetu hivi aiingii ujue, labda ufungu kwenye top roofAisee, kuna mtu leo anapelekewa TV mbovu, nimeona kabisa imeangushwa hapo Kimara na bodaboda. TV ya Kichina something Star nn sijui. Sema ndogo 32β
Mimi nikitoa Mil 1 ninunue TV haunishawishi kwa free delivery. Naifuata na request bolt ya gari narudi home.