- Thread starter
- #21
Mi huwa nashindwa kuelewa navyojua raha ya mwanamke ni kumpata mwanaume sasa huyu mwanamke anayejifanya Mwanaume anamfanyia nini mwenzake ? Aisee kweli haya ni mabadiliko ya tabia nchi
mkuu,kwa stori za wadau,uyo msichana hua ndo anaewasaga,naskia ana skills za kutosha,pata picha wanawake mbalimbali wanavyomgombania mkuu,yaani hua wanapigana kwa ajili yake,kwa ilo eneo wapo wengi mkuu,kuna mtoto mmoja wa chuo nae ni maarufu kwa iyo kaz,ni hatari sana