Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

Hakuna cha usagaji mbele ya mtalimbo wa maana!!
 
Komaa umlee mwanao vizuru akue na maadili unayohitaji,hayo mengine achana nayo yatakupasua kichwa.hayo mambo yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo mpaka siku ya mwisho.
 
Huyu anayevalishwa Pete ni J.J.aka Janet Julius Shonza,mdogo wake Juliana Shonza,naibu waziri katika serikali ya CCM.Kalikuwa kanaimba nyimbo za injili kanajifanya kameokoka.

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kazi kwako Juliana. Hii kwako ni kazi kweli kweli
 
hapana ila virusi vya ukimwi vinaweza sababisha usagaji
Basi ni bora tuwaache wasagane tuuu... Dunia ya sasa kila mtu na maisha yake.... Na kwanini umesema virusi vya ukimwi vinaweza sababisha usagaji mkuu
 
Huyu anayevalishwa Pete ni J.J.aka Janet Julius Shonza,mdogo wake Juliana Shonza,naibu waziri katika serikali ya CCM.Kalikuwa kanaimba nyimbo za injili kanajifanya kameokoka.
Dada yake anapaswa kujiuzuru kabisaaa Maana ni aibu kwake
 
Yaan ni uchafu mtupu.eti mdada anaonesha pete kabisa alovalishwa na mwanamkwenzie,[emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom