Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Tamaa. Wangekua hamuwatoshelezi wanaume wasingekua wanarudi kwenu wakati wana mabwana wao wanaosagana nao. Kama hiyo video huyo dada hana raha kama kalazimishwa vile na sponsor akubali hiyo pete.Ni hizi shule za boarding?
Ni umaskini?
Ufinyu wa elimu ya dini?
Kutotoshelezwa ama nini?