Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Jibu hoja. Hivi Kwanini CHADEMA hajuwi kujibu hoja na badala yake mnakuwa mnarukaruka tu? Unaulizwa hiki halafu wewe unajibu kile.hivi huko CHADEMA huwa mnafundishwa ujinga?nani mwalimu wenu?Kutegemea kupiga fix JF bila shaka utakua ama huijui JF au huna Ubongo
Bakuli 😂😂Katika wanyama wa ajabu ni tumbili kazi Yao kuruka Toka tawi Hili na kurukia kule naona mleta mada Kwa kuruka ruka matawi hujambo umesharuka Toka tawi la Kafulila Sasa umerukia tawi.la aliyekuwa msemaji wa Serikali tawi lingine utakalorukia baada ya hapo sijui ni wapi Ngoja tusubiri
Hapana hajatumbuliwa.na ushahidi wa hilo ni taarifa ya IkuluHiyo inajulikana bila hata maelezo haya mengi. Anaweza kuwa pia katumbuliwa
Samahani. .....hivi wewe ndiye ABDUL aongelewaye sana siku za hivi karibuni? Maanake, FAFANUZI nyingi za Nchi hii unatoa wewe!Kwa ufupi ni Kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE. Umeelewa maana ya maneno hayo? Ni tofauti na maneno kuwa atapangiwa majukumu mengine.
Sawa, kapangiwa kazi nyingine. Ila nafasi ile isingemfaa maana alionekana mtu wa jazbaHapana hajatumbuliwa.na ushahidi wa hilo ni taarifa ya Ikulu
Samahani. .....hivi wewe ndiye ABDUL aongelewaye sana siku za hivi karibuni?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Inamaana hata kusoma huwezi ndugu yangu?Samahani. .....hivi wewe ndiye ABDUL aongelewaye sana siku za hivi karibuni?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
UlanziBakuli 😂😂
😂😂😂Ulanzi
Kwanza sisi hatuna shida na Matinya hatuhuusu, tunacholalamika ni hizi teuzi, tengua hamisha za hovyo na gharama kubwa kwa walipa kodiSie tunajua "ametumbuliwa" kwa sasa, by the way yule ni mwajiriwa wa serikali ajira yake inakoma mpaka pale atakapotimiza miaka 60. Hivyo mwajiriwa yoyote wa serikali akitumbuliwa lazima apangiwe majukumu mengine tofauti na wateule wa kisiasa kama ma-RC, DC etc wao wakitumbuliwa wanakaa benchi. Hivyo basi "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwajiriwa) sio sawa na "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwanasiasa).....mwajiriwa automatically atakuwa na majukumu mengine hata kama isipotangazwa.
Tuseme tu AMETUMBULIWA
Haya mambo yapo juu ya uwezo na akili yako mdogo wangu.Sisi inatusaidia ni nini?
Umenianza? nikianza kukushughulikia utulie usitoe sautiHaya mambo yapo juu ya uwezo na akili yako mdogo wangu.
Kaa kwa kutulia maana huna unachoelewa na hata ukieleweshwa huwezi elewa maana bado hajakomaa vizuri dogo.Kwanza sisi hatuna shida na Matinya hatuhuusu, tunacholalamika ni hizi teuzi, tengua hamisha za hovyo na gharama kubwa kwa walipa kodi
Ukikua utaacha Mwenyewe mdogo wangu.Umenianza? nikianza kukushughulikia utulie usitoe sauti
Wewe hata akiteuliwa shetani utafurahia na kupongeza, hata juzi ulisifia marehemu kuteuliwa kuwa DEDKaa kwa kutulia maana huna unachoelewa na hata ukieleweshwa huwezi elewa maana bado hajakomaa vizuri dogo.
Hivi we kilaza kuna kazi inaitwa NYINGINE?Ndugu zangu watanzania,
Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu.
Nimepita baadhi ya maeneo na kwenye kurasa mbalimbali za Mitandao za baadhi ya watu,nimeshangaa wakitumia maneno kuwa aliyekuwa msemaji mkuu wa serikali ametumbuliwa,jambo ambalo siyo kweli .
Ukweli na usahihi ni kuwa taarifa ya ikulu inasema kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE,ambapo majukumu hayo bila shaka yatatangazwa muda wowote ule kwa umma, ili umma ujuwe mtumishi wao ni nani katika nafasi fulani.
Na unaweza kuta majukumu hayo mengine mapya yanaweza kuwa makubwa sana kuliko majukumu aliyokuwa nayo Awali. Kwa hiyo tuendelee kuwa na subira na utulivu kusubiri majukumu hayo mapya.
Kuelewa hiki nilichokizungumza basi angalia katika orodha hii ya majina hapo chini uende mpaka namba (IV )uone lugha iliyotumiwa katika taarifa ya Ikulu .View attachment 3018479View attachment 3018479
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Subiri nitulie nikushughulikie vizuriUkikua utaacha Mwenyewe mdogo wangu.
Yeye ni PS hivyo huwa anapost chochote atakachoambiwa na boss wakeHivi we kilaza kuna kazi inaitwa NYINGINE?
Hakuna ubishi kuondolewa kule alikokuwa na kupangiwa kazi ambayo haijulikani ni kutumbuliwa until kazi atakayopangiwa itakapojulikana.