Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa cha mwaka 2013,Handbreak kuna siku imeniokoa sana aiseh, labda ni share hapa itawasaidia na wengine, wakati nimeagiza gari mpaka limefika kuna vitu nilifanyia services ila betri sikubadilisha na sijui ilikuaje nilisahau, sasa katika endesha endesha kuna siku ikaniletea kisanga, asubuhi nawasha gari ikagoma kuwaka kutokana na mkoa niliopo kuna baridi sana na kawadia huwa betri ambazo hazina nguvu kukiwa na baridi huwa inasumbua sana kuwaka, ikawa haina nguvu sasa hiyo asubuhi ndiyo iliniletea shida, basi nika boost ikawaka poa kabisa na kuacha kama dakika 10 ijichji wakati gari inanguluma, sasa nimetoka home nipo njiani betri ikakata moto vio havishuki, no break, yani gari ikakata mawasiliano sio honi sio break wala vioo havishuki na ngoma inatelemka mbaya sijui akili iliweza kuwazaje ya kusema nivute handbrake ebwana ehhh nikavuta handbrake gari ilizunguka na kusimama nashukuru Mungu nyuma yangu kulikua hakuna gari wala pembeni yangu ilikua bonge la ajali mbele itokee maana kulikua na magari mengi mbele yangu, namshukuru Mungu sana kwa kuwa niliweza kuwaza handbrake na hapo hapo nimenunua gari bado nilikua sina uzoefu sana sijui akili ya kuvuta handbrake ilitoka wapi.
Sio lazima uamini waulize wenzako gari za auto betri ikakata moto kama hata break zinashikahuu ni uongo ten ule mkuu......
Kwa upande sasa wa matumizi ya handbrake, handbrake kabla ya kupaki ni lazima uanze na gear kurudisha kwe P then uvute handbrake, halikadhalika ukiwa unatoa gari ni lazima utoe handbrake kwanza then gear kwenye R or D, mfano kwa tukio langu baada ya tukio handbrake ilikua lose ikabidi fundi aje kuikaza kwasababu ilitumika wakati gari ipo kwenye mwendo, au hujawahi ona umeingia kwenye gari ukaondoa gari bila kushusha handbreak huoni gari inakua tofauti sana kwanza nzito na hata mlio wake unakua tofauti na pia unakua unaua handbreak pia mkuuKuna namna tofauti za matumiz ya HandBreak kwa madereva tofauti haswa kwenye Automatic Cars, swali langu ipi njia sahihi ya matumizi ya HandBreak kati ya hizi hapa:-
i) Wakati wa kupark-Kuweka Gear katika Parking(P) kisha ukavuta HandBreak au kuvuata HandBreak kisha ndio ushift Gear kwenda Parking (P) , Lipi ni sahihi hapa?
ii)Wakati wa kuondoka, kushusha Handbreak kwanza kisha uhamishe Gear toka (P) kwenda Drive(D) au Reverse(R) ?Au unatakiwa kuhamisha Gear toka Drive(D) au Reverse(R) toka ilipokuwa kwenye Parking(P) kisha ndio ushushe HandBreak ? Lipi ni sahihi?
Kwa ujumla ni kipi kianze kat ya Gear na HandBreak wakat wa kupark na pia kipi kianze kati ya Gear na HandBreak wakati wa kuondoka .?
NB::- Sijahusisha matumizi ya Break hapo sababu inaeleweka ni lazima upress Break kwanza ili hayo yote yaenda kwa usahihi yaani Break ni OBLIGATORY .
Sent using Jamii Forums mobile app
gari zote zinasimama km betri ikikata moto km uliitoa kwenye D na kuweka N ndio haitasimaa na lazima upepo uliokuweko kwenye booster uisheSio lazima uamini waulize wenzako gari za auto betri ikakata moto kama hata break zinashika
Mkuu mimi ishanitokea gari ilikuwa D haikusimama na hata handbrake iligoma nashukuru sana tena sana Mungu mbele palikuwa na shimo ndipo gari ikagotea hapo na uzuri mwingine haikuwa barabara kubwa wala mbele yangu hakukuwa na vyombo vya moto/visivyo vya moto ambavyo vilikuwa vinakuja hata watu hawakuwepo!!gari zote zinasimama km betri ikikata moto km uliitoa kwenye D na kuweka N ndio haitasimaa na lazima upepo uliokuweko kwenye booster uishe
siku nyingine hakikisha gari yoyote ikizima ghafla usiitoe gear hiyo ndio break yako
Mkuu hivi mnakataa na kubisha nini wakati tukio limenitokea mimi gari ipo kwenye D haikusimama mzee nilitumia handbrake tu ndiyo kusimama kwa gari, hebu jaribu halafu lete mrejeshogari zote zinasimama km betri ikikata moto km uliitoa kwenye D na kuweka N ndio haitasimaa na lazima upepo uliokuweko kwenye booster uishe
siku nyingine hakikisha gari yoyote ikizima ghafla usiitoe gear hiyo ndio break yako
Mkuu mimi nakuelewa maana the same tukio ndiyo lilotoke yani gari inakata mawasiliano kabisa, hizi ni gar za AUTO ni shida watu wanafananisha na gari za MANUAL, gari za AUTO ni balaaaMkuu mimi ishanitokea gari ilikuwa D haikusimama na hata handbrake iligoma nashukuru sana tena sana Mungu mbele palikuwa na shimo ndipo gari ikagotea hapo na uzuri mwingine haikuwa barabara kubwa wala mbele yangu hakukuwa na vyombo vya moto/visivyo vya moto ambavyo vilikuwa vinakuja hata watu hawakuwepo!!
Ni gari gani unayotumiaKisa cha mwaka 2013,Handbreak kuna siku imeniokoa sana aiseh, labda ni share hapa itawasaidia na wengine, wakati nimeagiza gari mpaka limefika kuna vitu nilifanyia services ila betri sikubadilisha na sijui ilikuaje nilisahau, sasa katika endesha endesha kuna siku ikaniletea kisanga, asubuhi nawasha gari ikagoma kuwaka kutokana na mkoa niliopo kuna baridi sana na kawadia huwa betri ambazo hazina nguvu kukiwa na baridi huwa inasumbua sana kuwaka, ikawa haina nguvu sasa hiyo asubuhi ndiyo iliniletea shida, basi nika boost ikawaka poa kabisa na kuacha kama dakika 10 ijichji wakati gari inanguluma, sasa nimetoka home nipo njiani betri ikakata moto vio havishuki, no break, yani gari ikakata mawasiliano sio honi sio break wala vioo havishuki na ngoma inatelemka mbaya sijui akili iliweza kuwazaje ya kusema nivute handbrake ebwana ehhh nikavuta handbrake gari ilizunguka na kusimama nashukuru Mungu nyuma yangu kulikua hakuna gari wala pembeni yangu ilikua bonge la ajali mbele itokee maana kulikua na magari mengi mbele yangu, namshukuru Mungu sana kwa kuwa niliweza kuwaza handbrake na hapo hapo nimenunua gari bado nilikua sina uzoefu sana sijui akili ya kuvuta handbrake ilitoka wapi.
Kwa nini mkuu hebu muumbue tuonehuu ni uongo ten ule mkuu......
Yap brake inakuwa ngumu kama jiwe,kwa sababu pump ya hydraulic inakuwa haifanyi kazi wakati huoMkuu mimi nakuelewa maana the same tukio ndiyo lilotoke yani gari inakata mawasiliano kabisa, hizi ni gar za AUTO ni shida watu wanafananisha na gari za MANUAL, gari za AUTO ni balaaa
Hand brake huwa ya kwanza halafu ndo una engage gearSiku zote hand break inakuwa ya mwisho. Baada ya kupaki au wakati unataka kuondoka una engage gear then ndo unatoa hand break.
Alaaa kumbeeeYap brake inakuwa ngumu kama jiwe,kwa sababu pump ya hydraulic inakuwa haifanyi kazi wakati huo
Yap brake inakuwa ngumu kama jiwe,kwa sababu pump ya hydraulic inakuwa haifanyi kazi wakati huo
mnajua kuendesha ni tofauti na MechanicalMkuu mimi nakuelewa maana the same tukio ndiyo lilotoke yani gari inakata mawasiliano kabisa, hizi ni gar za AUTO ni shida watu wanafananisha na gari za MANUAL, gari za AUTO ni balaaa
unaongelea gari ya aina gani ?? booster zipi za upepo unasemea? ...mtu asitoe gear kivp afu iwe brake ?. Yan unashauri mtu kama alikuwa no 5 asiweke 4,3,2,1 brake ikifeli abaki na 5??gari zote zinasimama km betri ikikata moto km uliitoa kwenye D na kuweka N ndio haitasimaa na lazima upepo uliokuweko kwenye booster uishe
siku nyingine hakikisha gari yoyote ikizima ghafla usiitoe gear hiyo ndio break yako
wenzako wanazungumzia Auto sio Manual kaanze post #1unaongelea gari ya aina gani ?? booster zipi za upepo unasemea? ...mtu asitoe gear kivp afu iwe brake ?. Yan unashauri mtu kama alikuwa no 5 asiweke 4,3,2,1 brake ikifeli abaki na 5??