Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

acha
na ww hizo booster za upepo za gari gani
ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
 
Kisa cha mwaka 2013,Handbreak kuna siku imeniokoa sana aiseh, labda ni share hapa itawasaidia na wengine, wakati nimeagiza gari mpaka limefika kuna vitu nilifanyia services ila betri sikubadilisha na sijui ilikuaje nilisahau, sasa katika endesha endesha kuna siku ikaniletea kisanga, asubuhi nawasha gari ikagoma kuwaka kutokana na mkoa niliopo kuna baridi sana na kawadia huwa betri ambazo hazina nguvu kukiwa na baridi huwa inasumbua sana kuwaka, ikawa haina nguvu sasa hiyo asubuhi ndiyo iliniletea shida, basi nika boost ikawaka poa kabisa na kuacha kama dakika 10 ijichji wakati gari inanguluma, sasa nimetoka home nipo njiani betri ikakata moto vio havishuki, no break, yani gari ikakata mawasiliano sio honi sio break wala vioo havishuki na ngoma inatelemka mbaya sijui akili iliweza kuwazaje ya kusema nivute handbrake ebwana ehhh nikavuta handbrake gari ilizunguka na kusimama nashukuru Mungu nyuma yangu kulikua hakuna gari wala pembeni yangu ilikua bonge la ajali mbele itokee maana kulikua na magari mengi mbele yangu, namshukuru Mungu sana kwa kuwa niliweza kuwaza handbrake na hapo hapo nimenunua gari bado nilikua sina uzoefu sana sijui akili ya kuvuta handbrake ilitoka wapi.
Kweli kabisaa ishanitomea hii rai wakabisha hon haipig wala brek haikanyagik
 
Kweli kabisaa ishanitomea hii rai wakabisha hon haipig wala brek haikanyagik
Ndiyo hivyo mkuu ingawa kuna watu ni wabishi kinoma, mimi nimewapa cruel hiyo gari ikitokea hali kama hiyo ni kuvuta handbreak, watu hapa wanabisha, hizi gari za auto ni za kuwa nazo makini sana na hizi betri eti mtu una boost betri imeshachoka ni heri unanue betri mpya
 
mnajua kuendesha ni tofauti na Mechanical
kuweka gear D (Driving) maana yake umeingiza gia kwenye meno na lazima gari isimame km itazimika kwa kukosa mawasiliano na betri iliyozima, HAKUNA GARI INAYOSOGEA KM GIA IMEINGIZWA NA INJINI IMEZIMWA labda km ni mteremko
INJINI ikizimwa hata breki hupati kwani upepo unaosukuma hydraulic unakosekana hivyo breki hupati
kwa gari ndogo usimamaji wake kutumia hand breki ni tofauti na magari makubwa yanayotumia upepo ndio maana gari ndogo ITASIMAMA TU

Jibu la Mada hii ni kuwa utakaposimama zima gari vuta wire au vuta chuma cha kuzuia gari isiondoke baada ya kuhakikisha lmesimama, vivyo hivyo kuanza kuondoka washagari kabisa to hand breki ingiza gea ONDOKA
Maneno mengi halafu hayana tija kwenye swali, ndiyo maana huwa mnafeli kujibu kitu ambacho hujaulizwa
 
Siku zote hand break inakuwa ya mwisho. Baada ya kupaki au wakati unataka kuondoka una engage gear then ndo unatoa hand break.
Kwanini iwe ya mwisho wakati wa kuondoka?

Binafsi sioni tofauti au athari ya kudisengage hand brake kabla ya kuweka gear.
 
Kuna namna tofauti za matumiz ya HandBreak kwa madereva tofauti haswa kwenye Automatic Cars.

Swali langu ipi njia sahihi ya matumizi ya HandBreak kati ya hizi hapa:-

i) Wakati wa kupark-Kuweka Gear katika Parking(P) kisha ukavuta HandBreak au kuvuta HandBreak kisha ndio ushift Gear kwenda Parking (P)? Lipi ni sahihi hapa?

ii)Wakati wa kuondoka, kushusha Handbreak kwanza kisha uhamishe Gear toka (P) kwenda Drive(D) au Reverse(R) ?Au unatakiwa kuhamisha Gear toka Drive(D) au Reverse(R) toka ilipokuwa kwenye Parking(P) kisha ndio ushushe HandBreak ? Lipi ni sahihi?

Kwa ujumla ni kipi kianze kat ya Gear na HandBreak wakat wa kupark na pia kipi kianze kati ya Gear na HandBreak wakati wa kuondoka?

NB::- Sijahusisha matumizi ya Break hapo sababu inaeleweka ni lazima upress Break kwanza ili hayo yote yaenda kwa usahihi yaani Break ni OBLIGATORY.

Sent using Jamii Forums mobile app
As long as utakua umekanyaga break, yote ni sawa tuu.
 
Huyo jamaa ni mbishi

sio mbishi hili Jukwaa ni kueleweshana
ndio maana nikasema mm ni fundi na nina leseni ya mwaka 1988 hujazaliwa
sasa wengine hata magari hamna mnakuja tuwajibuje au ni Jukwaa la Chit and Chat?
post zako zote Member wanakuambia taja hilo ni Gari gani lilokataa kusimama mwaka huo wa 2013
unasema ni gari la AUTO
Sio lazima uamini waulize wenzako gari za auto betri ikakata moto kama hata break zinashika
sio tupo whatsapp kuulizana una gari au Leseni ila uliendesha gari gani halikusimama? na sisi tujue gari iliyozima moto ikaserereka labda basi la YUTONG au Bajaj TVS na sio lazima mm
 
acha

ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
..ndo zimefanyaje ..mtu anauliza matumizi kamaanisha gari ndogo ya kutembelea we unasema gari zote ...au unajua jamaa anatembelea lorry.....scania 124hp ni toleo jipya au?
 
..ndo zimefanyaje ..mtu anauliza matumizi kamaanisha gari ndogo ya kutembelea we unasema gari zote ...au unajua jamaa anatembelea lorry.....scania 124hp ni toleo jipya au?
na ww hizo booster za upepo za gari gani
wengine humu mnakuja kuuliza au kujifunza mara Booster mara Bajaj, mm nimekwambia uliza gari lolote hata Scania zina Booster
P/se rudi kwenye Mada acha kujibizana na mm vitu vya ajabu humu ni Jukwaa la Magari sio Chat chat au Mipasho
 
Kuna namna tofauti za matumiz ya HandBreak kwa madereva tofauti haswa kwenye Automatic Cars.

Swali langu ipi njia sahihi ya matumizi ya HandBreak kati ya hizi hapa:-

i) Wakati wa kupark-Kuweka Gear katika Parking(P) kisha ukavuta HandBreak au kuvuta HandBreak kisha ndio ushift Gear kwenda Parking (P)? Lipi ni sahihi hapa?

ii)Wakati wa kuondoka, kushusha Handbreak kwanza kisha uhamishe Gear toka (P) kwenda Drive(D) au Reverse(R) ?Au unatakiwa kuhamisha Gear toka Drive(D) au Reverse(R) toka ilipokuwa kwenye Parking(P) kisha ndio ushushe HandBreak ? Lipi ni sahihi?

Kwa ujumla ni kipi kianze kat ya Gear na HandBreak wakat wa kupark na pia kipi kianze kati ya Gear na HandBreak wakati wa kuondoka?

NB::- Sijahusisha matumizi ya Break hapo sababu inaeleweka ni lazima upress Break kwanza ili hayo yote yaenda kwa usahihi yaani Break ni OBLIGATORY.

Sent using Jamii Forums mobile app

Matumizi ya handbrake ni sawasawa kwa automatic transmission na hata stick shift. Ile ni brake ya mwisho baada ya kuweka parking kwa auto na kuweka number moja katika stick ndio unamalizia na handbrake, unapowasha gari unaweza ukaitoa kwanza katika Auto lakini katika stick inabidi uhakikishe gear ipo neutral au umeshika brake sababu kama ulizima gari katika gear na ukaishusha hivihivi itachomoka
 
wengine humu mnakuja kuuliza au kujifunza mara Booster mara Bajaj, mm nimekwambia uliza gari lolote hata Scania zina Booster
P/se rudi kwenye Mada acha kujibizana na mm vitu vya ajabu humu ni Jukwaa la Magari sio Chat chat au Mipasho
Huyo mjomba kwa mipasho na ujuaji hewa hua namkubali,hakuna siku ata discuss kitu khs magari humu jf akabishana kistaarabu bila kukwaruzana na mtu.

Ajirekebishe kwa hilo.
 
jibu basi scania 124hp ni toleo gani...busta kwenye vitz au rav4 ni nini ..je busta kwa scania ndo ipi....shida ni nyie mnavotafsiri neno busta
 
Huyo mjomba kwa mipasho na ujuaji hewa hua namkubali,hakuna siku ata discuss kitu khs magari humu jf akabishana kistaarabu bila kukwaruzana na mtu.

Ajirekebishe kwa hilo.
..nan huyo ...maswali yakikubana ndo upanic??
 
Back
Top Bottom