Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

acha

ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
Hahahaha daaaa.. scania ipi sasa R au S maana zote zina 730! Halafu mkuu umemuuliza kwa kujiamini sana kwani wewe umeijulia wapi maana hata wazungu wenyewe bado wanapiga nayo selfie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha daaaa.. scania ipi sasa R au S maana zote zina 730! Halafu mkuu umemuuliza kwa kujiamini sana kwani wewe umeijulia wapi maana hata wazungu wenyewe bado wanapiga nayo selfie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kweli Mkuu hizo R&S 730 V8 kuingia bado lakini madogo wanaudhi wanauliza Booster ndio nini wakati Mada ni Handbreak ya Auto. wanaulizwa ulikuwa na gari gani tukusaidie km huenda linatumia handbreak ya cable KIMYA wanajua kila kitu
emmanuel ranga muwe mnasaidia hata kuwaelewesha kwani hata Bajaj zina handbreak

New Scania S and R 730 trucks launched ...
 

Attachments

  • 1550172184258.png
    1550172184258.png
    20.2 KB · Views: 30
Kuna siku gari ilizima ikiwa kwenye mwendo, usukani mgumu, breki ngumu, alafu nakaribia mataa ya Chang'ombe pale Serengeti breweries...

Uzuri mwendo haukuwa mkali sana, hivyo lilisimama lenyewee, nyuma huko scania zinanioigia mahoni tu .....

Nashukuru taa ziliwaka nyekundu hivyo kila nyuma wote waliounguza mwendo.....

Vinginevyo, last seen hapa JF ingekuwa Mwakajana.

Tatizo waya wa terminal wa betri ulileegea na kushindwa kusafirisha umeme,

Nikatoka na kwenda kuukaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kwa kupata ujuzi zaidi tuingie youtube ili tuweze kupata elimu sahihi,kuliko kuendesha vyombo vya moto kimazoea;vinginevyo tunaweza kuwa tunaziharibu gari zetu au kujitafutia ajali ambazo zitatoa uhai wetu.
 
Kwani kazi ya betri ninkuendesha gari au kustart ignition?
Gari za kisasa zina parts nyingi ambazo zinaendeshwa kwa umeme mfano Mark X, Crown, Harrier (New Model) zina Elecronic Throttle Body, Electronic Power Stearing inamaana hizo parts zote zinatumia umeme wa Altenator ukiongezewa na Battery sasa Battery inapokuwa down hizo parts zinakosa umeme wa kutosha kuziendesha matokeo yake Stearing inakuwa ngumu na respond ya pedal ya accerelator inakuwa ndogo so ni kweli gari za kisasa zinatumia Battery kuendesha parts zake.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hivi mnakataa na kubisha nini wakati tukio limenitokea mimi gari ipo kwenye D haikusimama mzee nilitumia handbrake tu ndiyo kusimama kwa gari, hebu jaribu halafu lete mrejesho
Mkuu hivi mnakataa na kubisha nini wakati tukio limenitokea mimi gari ipo kwenye D haikusimama mzee nilitumia handbrake tu ndiyo kusimama kwa gari, hebu jaribu halafu lete mrejesho
 
Gari automatic likizima likiwa kwenye D litaendelea kwenda na breack kama walivyosema wadau hazitashika labda handbrake.

kina haya mabasi yaendayo haraka kwa wadarasalam wanayafaham,
Yana buttons 3 kwa ajili ya kuweka gear,
1- D
2-N
3-R

hayana P,huwa nawaona madereva wao wakisimama hawajishughulishi na kuweka N wao huwa wanaweka hand break moja kwa moja
 
Back
Top Bottom