Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

acha
na ww hizo booster za upepo za gari gani
ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
 
Kweli kabisaa ishanitomea hii rai wakabisha hon haipig wala brek haikanyagik
 
Kweli kabisaa ishanitomea hii rai wakabisha hon haipig wala brek haikanyagik
Ndiyo hivyo mkuu ingawa kuna watu ni wabishi kinoma, mimi nimewapa cruel hiyo gari ikitokea hali kama hiyo ni kuvuta handbreak, watu hapa wanabisha, hizi gari za auto ni za kuwa nazo makini sana na hizi betri eti mtu una boost betri imeshachoka ni heri unanue betri mpya
 
Na je kipi kitangulie kuzima kwa switch au kuweka kwenye P?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizima kwenye switch kabla hujaweka p gari huwa inazingua inakua kama ipo N inateremka, ni vyema fika mahala weka gear kwenye P then vuta handbreak halafu ndiyo uje kwenye switch uzime
 
Maneno mengi halafu hayana tija kwenye swali, ndiyo maana huwa mnafeli kujibu kitu ambacho hujaulizwa
 
Siku zote hand break inakuwa ya mwisho. Baada ya kupaki au wakati unataka kuondoka una engage gear then ndo unatoa hand break.
Kwanini iwe ya mwisho wakati wa kuondoka?

Binafsi sioni tofauti au athari ya kudisengage hand brake kabla ya kuweka gear.
 
As long as utakua umekanyaga break, yote ni sawa tuu.
 
Huyo jamaa ni mbishi

sio mbishi hili Jukwaa ni kueleweshana
ndio maana nikasema mm ni fundi na nina leseni ya mwaka 1988 hujazaliwa
sasa wengine hata magari hamna mnakuja tuwajibuje au ni Jukwaa la Chit and Chat?
post zako zote Member wanakuambia taja hilo ni Gari gani lilokataa kusimama mwaka huo wa 2013
unasema ni gari la AUTO
Sio lazima uamini waulize wenzako gari za auto betri ikakata moto kama hata break zinashika
sio tupo whatsapp kuulizana una gari au Leseni ila uliendesha gari gani halikusimama? na sisi tujue gari iliyozima moto ikaserereka labda basi la YUTONG au Bajaj TVS na sio lazima mm
 
acha

ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
..ndo zimefanyaje ..mtu anauliza matumizi kamaanisha gari ndogo ya kutembelea we unasema gari zote ...au unajua jamaa anatembelea lorry.....scania 124hp ni toleo jipya au?
 
..ndo zimefanyaje ..mtu anauliza matumizi kamaanisha gari ndogo ya kutembelea we unasema gari zote ...au unajua jamaa anatembelea lorry.....scania 124hp ni toleo jipya au?
na ww hizo booster za upepo za gari gani
wengine humu mnakuja kuuliza au kujifunza mara Booster mara Bajaj, mm nimekwambia uliza gari lolote hata Scania zina Booster
P/se rudi kwenye Mada acha kujibizana na mm vitu vya ajabu humu ni Jukwaa la Magari sio Chat chat au Mipasho
 
Matumizi ya handbrake ni sawasawa kwa automatic transmission na hata stick shift. Ile ni brake ya mwisho baada ya kuweka parking kwa auto na kuweka number moja katika stick ndio unamalizia na handbrake, unapowasha gari unaweza ukaitoa kwanza katika Auto lakini katika stick inabidi uhakikishe gear ipo neutral au umeshika brake sababu kama ulizima gari katika gear na ukaishusha hivihivi itachomoka
 
wengine humu mnakuja kuuliza au kujifunza mara Booster mara Bajaj, mm nimekwambia uliza gari lolote hata Scania zina Booster
P/se rudi kwenye Mada acha kujibizana na mm vitu vya ajabu humu ni Jukwaa la Magari sio Chat chat au Mipasho
Huyo mjomba kwa mipasho na ujuaji hewa hua namkubali,hakuna siku ata discuss kitu khs magari humu jf akabishana kistaarabu bila kukwaruzana na mtu.

Ajirekebishe kwa hilo.
 
jibu basi scania 124hp ni toleo gani...busta kwenye vitz au rav4 ni nini ..je busta kwa scania ndo ipi....shida ni nyie mnavotafsiri neno busta
 
Huyo mjomba kwa mipasho na ujuaji hewa hua namkubali,hakuna siku ata discuss kitu khs magari humu jf akabishana kistaarabu bila kukwaruzana na mtu.

Ajirekebishe kwa hilo.
..nan huyo ...maswali yakikubana ndo upanic??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…