Chacho Haulage
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 267
- 308
Hahahaha daaaa.. scania ipi sasa R au S maana zote zina 730! Halafu mkuu umemuuliza kwa kujiamini sana kwani wewe umeijulia wapi maana hata wazungu wenyewe bado wanapiga nayo selfieacha
ushamba nimekwambia zungumzia Mada
unaijua Scania 730 hp (acha Scania 124 hp) ndio booster zake ukitaka tuzungumzie achana na hivi vigari vya sokoni vinavyotumia P na D
Ha ha ha kweli Mkuu hizo R&S 730 V8 kuingia bado lakini madogo wanaudhi wanauliza Booster ndio nini wakati Mada ni Handbreak ya Auto. wanaulizwa ulikuwa na gari gani tukusaidie km huenda linatumia handbreak ya cable KIMYA wanajua kila kituHahahaha daaaa.. scania ipi sasa R au S maana zote zina 730! Halafu mkuu umemuuliza kwa kujiamini sana kwani wewe umeijulia wapi maana hata wazungu wenyewe bado wanapiga nayo selfie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kweli Mkuu hizo R&S 730 V8 kuingia bado lakini madogo wanaudhi wanauliza Booster ndio nini wakati Mada ni Handbreak ya Auto. wanaulizwa ulikuwa na gari gani tukusaidie km huenda linatumia handbreak ya cable KIMYA wanajua kila kitu
emmanuel ranga muwe mnasaidia hata kuwaelewesha kwani hata Bajaj zina handbreak
New Scania S and R 730 trucks launched ...
We jamaa bhana.. Yani uzime alafu uweke P, how come?
Gari za kisasa zina parts nyingi ambazo zinaendeshwa kwa umeme mfano Mark X, Crown, Harrier (New Model) zina Elecronic Throttle Body, Electronic Power Stearing inamaana hizo parts zote zinatumia umeme wa Altenator ukiongezewa na Battery sasa Battery inapokuwa down hizo parts zinakosa umeme wa kutosha kuziendesha matokeo yake Stearing inakuwa ngumu na respond ya pedal ya accerelator inakuwa ndogo so ni kweli gari za kisasa zinatumia Battery kuendesha parts zake.Kwani kazi ya betri ninkuendesha gari au kustart ignition?
Mkuu hivi mnakataa na kubisha nini wakati tukio limenitokea mimi gari ipo kwenye D haikusimama mzee nilitumia handbrake tu ndiyo kusimama kwa gari, hebu jaribu halafu lete mrejesho
Mkuu hivi mnakataa na kubisha nini wakati tukio limenitokea mimi gari ipo kwenye D haikusimama mzee nilitumia handbrake tu ndiyo kusimama kwa gari, hebu jaribu halafu lete mrejesho