Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
 
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? 😡
 

Hakuna awamu bora na iliyokua nafuu kwa watanzania wengi kama awamu ya 4. Siko kubishana
 
GAVANA wa BOT kasema tukope tu bado tupo 42% ua UHIMILIVU wa kukopesheka
Japana inaongoza na kwa Afrika ni Angola
usikalie uchumi wako kopa na fanyia kazi
mwendazake alitudanganya Interchange ya Kijazi (Ubungo) ni pesa ya ndani kumbe Mkopo na pesa ni Japan
 
Hapo ni takwimu ya ukweli na mwenendo wa madeni ulivyo.
 
Tunachezeshwa picha la kihindi hapaa,yaani uwe prof,dr,mkulima,mfanyabiashara nk.
Wote tumewekwa mtu kati, director anaijua kazi yake vyema.
Naihurumia sana nchi yangu.
 

Ubungo interchange ni pesa ya world bank , salender bridge ndio pesa ya japan husichanganye
 
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? 😡
Namufahamu huenda Labda simjui Kama unavyomjua wewe,ila ninachojua alifanya kazi kubwa ya kuweka misingi namuna gani taifa lingekuja kuwa,na alifanikiwa Sana.
Kwa habari za miundo mbinu Kama una data mwaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…