Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? [emoji35]
Soma between the line, kachero gani usie Na brain ya kuelewa? Kasema kaizidi awamu ya miaka 10 - 10 sio ya miaka 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? [emoji35]
Mkuu marekebisho kidogo badalala ya M weka BNimekupa link ya data zote hapo chini ukitaka kufuata nusunusu wapi?
Awamu ya nne ilitoa deni kutoka $4M mpaka $15.6M
Nadhani Salender bridge (Tanzanite) ni South Korea, Ubungo, mwendokasi na barabara zoote zilizojengwa mijini na kule Buza/Yombo (WB), Tazara ndiyo Japan.
Kwa keki ya taiga kugawanwa ju kwa ju?
Alisema tutamkumbuka.
Rekodi ya Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere haijavunjwa.Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Kwanza badirisha figures zako kuna tofauti ya $28.054M na $28,054M. Hiyo $28,054M ni Dola Bilioni 28.Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.
Magufuli aliacha deni la $24.652M
Alilikuta deni ..... $15.261M
Samia amelikuta deni .. $24.652M
Kwa miezi hii kalifikisha..$28.054
View attachment 2061778
View attachment 2061790
View attachment 2061780
View attachment 2061791
Sawa mkuu ngoja tu nitie koma
👎👎👎👎Rekodi ya Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere haijavunjwa.
Hata elimu bure, ilikuwa kweli iliyowasomesha wanaotangaza bure isiyo bure.
Amefanya nn cha maana weweMagufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Kwani waliokufa waliyamaliza matatizo ya familia zao?Jabali la Africa amehiacha nchi ktk matatizo makubwa ya kiuchumi, amekopakopa ovyo na amekwangua na pesa zote za ndani na hakuna hata mladi mmoja alioumaliza. Jiwe limetuachia majanga makubwa sana. Acha mungu aitwe mungu
🤸🤸🤸🤸Amefanya nn cha maana wewe
Kweli kabisa, yeye ametuachia sukuma gang, wasiojulikana na madeni lukuki. Yahani ni bola tu alivyoondoka mapemaKwani waliokufa waliyamaliza matatizo ya familia zao?
Wengine waliacha hawajenga, wengine waliacha watoto wakiwa form one, wengine waliacha mke akiwa hajazaa.
Tumekubaliana na tozo Kama njia kujitekemea,hizo pesa za Corona zimemfanya mama awe mtumwa kweli.Sasa kwani miradi alimalizika? au mnataka mama asiimalizie aachie alipoiacha magu? Mama kopa tulianza kukopa tanguenzi za mwalimu, tumeguswa kidogo kwenye tozo tunalia bila mikopo simtapiga mayowe! Wabongo bado sana kujitegemea tuache unafiki.
sukuma gangs katka ubora wakoMagufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
kwa hiyo si mikopoUbungo interchange ni pesa ya world bank , salender bridge ndio pesa ya japan husichanganye
kwa hiyo si mikopo
Mwendazake ndiye katuingiza Chaka kuwa ni pesa za.ndani. leo Spika anawaambia Rsis anatembeza bakuli
Alifanya nini kwa wastani wa miaka mitano?Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? 😡