Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Magufuli wanted to be worshipped and he did things at the same time. Nyerere wanted to be worshipped and did nothing.
I don't understand why we didn't occupy mines in Uganda after defeating Amin or at least get a deal on their oil, we only ended up polishing Nyerere's ego with no significant advantage.
So now the living are busy discussing and comparing the dead from the same impractical system that keep on bringing us incompetent solutions to our contemporary economic standstill. 🤔🤔🤔
Aki nchi ngumu sana hii.
 
Magufuli hakutaka kuumiza wananchi kwa tozo. Samia kaongeza tozo na Kodi anakopa hela za Nini Tena?
Ndugai ana point.
Mbona rais amejibu vizuri sana kazi ya kila chanzo! Wewe umebaki ktk swali.
 
So now the living are busy discussing and comparing the dead from the same impractical system that keep on bringing us incompetent solutions to our contemporary economic standstill. 🤔🤔🤔
Aki nchi ngumu sana hii.
we are not " busy discussing the dead", we are just discussing the past and what could have been. And the system is not impractical, impractical things do not exist only practical do.
 
Nimekupa link ya data zote hapo chini ukitaka kufuata nusunusu wapi?
Awamu ya nne ilitoa deni kutoka $4M mpaka $15.6M
Ikaunganisha barabara za mikoa yote Tanzania bila ukanda.
 
Ilikuta hazina kuna pesa kiasi gani za ndani?
Ilipoondoka iliacha hazina kuna pesa kiasi gani za ndani?
Ilikuta deni la taifa ni kiasi gani?
Ilipoondoka deni lilikuwa kiasi gani?
Pesa ilizokopa ilifanyia nini?

Awamu ya 5 nusu imekuta hazina kuna pesa na ndio jeuri ya pesa zetu ikampata. Mawazo mengi kuja shituka hakuna kitu.

Awamu ya 4 ndio iliyoanzisha Rea, ikaombea fund ujenzi wa brt, mfugale, ubungo, salender, ndio ilifanikiwa kuunganisha barabara za mikoa kwa rami.

Aisee ni mengi eh
 
Watu walinyanyukia kwake kuanzia biashara, watu wamejenga na kufanya maendeleo makubwa kipindi cha kikwete
Hakika... Kuna watu walinunua viwanja, wakajrenga na kuhamia kwenye nyumba zao kipindi cha JK.
Kipindi cha JPM wakavunjiwa na sasa wapo kwenye nyumba za kupanga na madeni lukuki benki...
Labda hii trend ya SSH ndo ikawaokoa...
 
we are not " busy discussing the dead", we are just discussing the past and what could have been. And the system is not impractical, impractical things do not exist only practical do.
I wish that were the case. But it isn't!
 
Jabali la Africa amehiacha nchi ktk matatizo makubwa ya kiuchumi, amekopakopa ovyo na amekwangua na pesa zote za ndani na hakuna hata mladi mmoja alioumaliza. Jiwe limetuachia majanga makubwa sana. Acha mungu aitwe mungu
Kajufunze kwanza kuamdika mpuuzi wewe

USSR
 
Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Anakopa anapeleka Zanzibar
 
Back
Top Bottom