🤣🤣🤣🤣sukuma gangs katka ubora wako
Sukumagang ni Kama maji hata Hangaya anajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣sukuma gangs katka ubora wako
Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika
Ilikuta hazina kuna pesa kiasi gani za ndani?Hakuna awamu bora na iliyokua nafuu kwa watanzania wengi kama awamu ya 4. Siko kubishana
Hapa ndipo mnapokosea kumlinganisha Mwl Nyerere na Magufuri. Magufuri amekuta wenzake wameshaweka misingi ila Nyerere ndio alijenga misingi ndio maana leo kuna amani na Wala hakuna ukabila.Namufahamu huenda Labda simjui Kama unavyomjua wewe,ila ninachojua alifanya kazi kubwa ya kuweka misingi namuna gani taifa lingekuja kuwa,na alifanikiwa Sana.
Kwa habari za miundo mbinu Kama una data mwaga tu.
Magufuri had no intelligence but was full of himself. He wanted to be praised and worshiped. Making everybody an hypocrite. Nyerere had intelligence and wisdom. Merging two states was not a joke and dissolving tribalism.Mzee wa Glasgow, Nyerere's ego overshadowed his intelligence. Magufuli's ego was his intelligence.
Unajisahaulisha wakati Nyerere kajenga vyuo kibao nchini na hakuna kelele, Magu kajenga hostel za bilion 5 tu expansion joints ikawa kelele dunia mzima! Sasa angejenga ile UDOM sijui hali ingekuwaje manake si ajabu mngetuambia "chukua vyuo vyote vilijengwa tangu kupata uhuru lakini "thamani" ya hivyo vyote haifikii thamani ya UDOM!! In short, mna-overate sana yaliyofanywa na Magu to the point kama anakuja mgeni asiyeijua TZ hata kidogo halafu awasikie wafuasi wa Magu, basi anaweza kudhani yote yanayoonekana nchi hii yamefanywa na Magu!!!Namufahamu huenda Labda simjui Kama unavyomjua wewe,ila ninachojua alifanya kazi kubwa ya kuweka misingi namuna gani taifa lingekuja kuwa,na alifanikiwa Sana.
Kwa habari za miundo mbinu Kama una data mwaga tu.
Umeshasema nilisikia, maana yake huna uthibitisho.👎👎👎👎
Ila pia zilikuwa enzi za kuwekwa kizuizini, namukumbuka yule alikuwa rais wa Zanzibar nilisikia mpaka anakufa alikuwa kizuizini Kigamboni.
Pesa alizokopa kwa kipindi kifupi hivyo ni hatari na bado anatangaza kukopa zaidiMagufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Wamachinga na waskuma poleni Sana kwa msibaMagufuli hakutaka kuumiza wananchi kwa tozo. Samia kaongeza tozo na Kodi anakopa hela za Nini Tena?
Ndugai ana point.
Acha kuongea kama huna kichwa bwana!!tozo za bundle za simu sheria ilitungwa na nani?!!chanzo cha mafuta ya kula hadi leo yako juu, ni tozo za ajabu alizoweka, hivyo hivyo kwenye sukari, makosa ya barabarani nayo kuwa ni chanzo cha mapato, tozo lukuki zilizo kuwa kwenye mafuta, ya petrol na diesel ambazo licha ya kuambiwa zimefutwa lakini hakuna unafuu!!!Magufuli hakutaka kuumiza wananchi kwa tozo. Samia kaongeza tozo na Kodi anakopa hela za Nini Tena?
Ndugai ana point.
Magufuli wanted to be worshipped and he did things at the same time. Nyerere wanted to be worshipped and did nothing.Magufuri had no intelligence but was full of himself. He wanted to be praised and worshiped. Making everybody an hypocrite. Nyerere had intelligence and wisdom. Merging two states was not a joke and dissolving tribalism.
JK aliimba maisha bora na hakika ubora ulikuwepo.Hakuna awamu bora na iliyokua nafuu kwa watanzania wengi kama awamu ya 4. Siko kubishana
Kafanya lipi jiwe? Kukopa Kununua mindege ambayo kwa sasa inatutia hasara??Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Jamaa alikuwa mubaya sanaMengi aliyofanya pamoja na kuwapoteza watu, kesi za kubambika, Kufubfa biashara za watu, kubomoa hotel na kufuta shamba la mkulima Risasi lukuki mwilini mwa shujaa.! Viroba baharini, kuhamisha easilimali kuimarisha Chato nk, nk , nk!!
Ubungo interchange ni pesa ya world bank , salender bridge ndio pesa ya japan husichanganye
GAVANA wa BOT kasema tukope tu bado tupo 42% ua UHIMILIVU wa kukopesheka
Japana inaongoza na kwa Afrika ni Angola
usikalie uchumi wako kopa na fanyia kazi
mwendazake alitudanganya Interchange ya Kijazi (Ubungo) ni pesa ya ndani kumbe Mkopo na pesa ni Japan
Sukumagang utawajua tu. Wapo nyuma ya Jabali lao kuendeleza uongo!Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.
Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Ni data za BoT siyo data za mleta mada.Kale ka sheria ka takwimu kalihusu idadi ya wapiga kura pekee au kila nyanja?
Maswali fikirishi haya.Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?