Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Acha kuongea kama huna kichwa bwana!!tozo za bundle za simu sheria ilitungwa na nani?!!chanzo cha mafuta ya kula hadi leo yako juu, ni tozo za ajabu alizoweka, hivyo hivyo kwenye sukari, makosa ya barabarani nayo kuwa ni chanzo cha mapato, tozo lukuki zilizo kuwa kwenye mafuta, ya petrol na diesel ambazo licha ya kuambiwa zimefutwa lakini hakuna unafuu!!!
Zile nazo zilikuwa ni akili au, unakopa halafu unajisifu eti miradi yote ni pesa za ndani!!!trilioni 22 ndani ya miaka 5!!!?MUNGU FUNDI
Mungu wako fundi kakusaidia nini sasa?

Mbona hayo mafuta ya kula wakati magu anatoka yalikuwa yanauzwa lita 10 elfu 30 sasa hivi ni elfu 50? Si mungu wako fundi kwanini hajapungua badala yake yamezidi kupaa?

Petroli na dizel ikuwa sh ngapi na leo ni sh ngapi? Si mungu wako fundi? Mbona basi petrol imezidi kupaa badla ya kushuka?

Vipi ulikuwa unabandikwa matozo kama ilivyo sasa? Mungu wako si fundi? Vipi sasa matozo kila kona?

Vipi una takwimu za material za ujenzi uweke hapa? Mungu wako si fundi? Vipi sasa nondo iliyokuwa inauzwa elfu 18 leo ni 28

Vipi gaidi nae alikuwa ndani? Na mungu wako si fundi? Inakuwaje sasa gaidi anakula krismass na mwaka ndani?

Huyo mungu wako ni kichaa kabisa,
 
Jamaa alikuwa mubaya sana

Hawa wanaomtetea humu ndio waliokiwa wanabambika kesi watu. Kipindi chake watu waliuliwa eti kwa kumtukana jiwe. Sasa huyu mbona hatukanwi?

Mungu ni mwema sana angeendelea kuwepo tungekuwa na hali mbaya sana.

Sabaya na Makonda wangemaliza watu.
Alikufanyia ubaya gani?
 
Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Hangaya kavaa viatu sio size yake by Suprise. Hana maono yoyote na hii nchi.
 
Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Na deni kipindi cha JPM kukua si kwa kukopa, hakutaka ujinga wa kulipa madeni wakati yuko na mambo mingi za kufanya kwa wananchi.
 
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? [emoji35]
Alijenga hospital ngapi na JPM akapiga ngapi? tunampenda na tunamheshimu Baba yetu, takwimu hazidanganyi, ndani ya kipindi chake JPM kajenga hospitals, zahanati na vituo vya afya zaidi ya nusu ya vilivyokuepo kabla hajaingia madarakani.
 
Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
Mkuu kwahiyo mama Samia aachane na miradi kama SGR, na Madaraja? Magufuli aliwahi kupandisha mishahara au hata kupandisha madaraja watumishi? Alitoa ajira mpya kwa wananchi wake? Vp kuhusu kodi kwa wafanyakazi? Wawekezaji walitoa fursa za ajira kwa wananchi?? Mikopo ilifanya kazi gani ikiwa tuliambiwa tunajenga kwa fedha za ndani? Kwa mtizamo wako wewe maisha ya sasa hivi na yale ya 2020 yapi yana unafuu au hali himilivu?? Vp kuhusu kuhusu kudaiwa kodi kwa nguvu ulipenda ile staili??

Kama Rais Samia hatokopa basi ile miradi haitokamilika.
 
Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.

Magufuli aliacha deni la $24,652M
Alilikuta deni ..... $15,261M

Samia amelikuta deni .. $24,652M
Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054
View attachment 2061778
View attachment 2061790

View attachment 2061780

View attachment 2061791
Umeniwahi nilitaka kuweka uzi huu. Watu wamekua wanafanya upuuzi awamu hii alafu kujifanya wanalinganisha na awamu ya tano. Kitu kimoja niko na uhakika nacho mama kwenye kusimamia bado hayuko vizuri na ndio wenzake wanapozichota, atakopa sana na tutaibiwa kweli kweli. RIP baba
 
Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.

Magufuli aliacha deni la $24,652M
Alilikuta deni ..... $15,261M

Samia amelikuta deni .. $24,652M
Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054
View attachment 2061778
View attachment 2061790

View attachment 2061780

View attachment 2061791
Alichokikopa JPM ndicho watanzania iwanakitaka kwa sababu alifanyia kazi mkopo huo kwa kuusimamia kwa nidhamu na matokeo yanaonekana kwenye jicho la Mtanzania awe mtoto, mtu mzima na mzee sio ukopaji wa sasa , misaada na tozo lukuki zisizooonekana popote.

Hakuna miradi mipya yenye tija kwa sasa popote pale Tanzania na hata ukiona ipo ubora wake ni wa chini kwa kuwa majizi ndio yamepewa mamlaka ya kuamua cha kufanya kisha wanawakilisha tu mrejesho jinsi pesa zilivyotumika.

Vunjeni bungeni, iundwe tume huru na katiba ibadilishwe naamini CCM haitakuwa na lake na ndio itakuwa kaburi lao la mwisho maana hawapo pale kwa maslahi ya taifa na wananchi.
 
GAVANA wa BOT kasema tukope tu bado tupo 42% ua UHIMILIVU wa kukopesheka
Japana inaongoza na kwa Afrika ni Angola
usikalie uchumi wako kopa na fanyia kazi
mwendazake alitudanganya Interchange ya Kijazi (Ubungo) ni pesa ya ndani kumbe Mkopo na pesa ni Japan
Interchange ni world bank na wala hakuwahi kusema hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwahiyo mama Samia aachane na miradi kama SGR, na Madaraja? Magufuli aliwahi kupandisha mishahara au hata kupandisha madaraja watumishi? Alitoa ajira mpya kwa wananchi wake? Vp kuhusu kodi kwa wafanyakazi? Wawekezaji walitoa fursa za ajira kwa wananchi?? Mikopo ilifanya kazi gani ikiwa tuliambiwa tunajenga kwa fedha za ndani? Kwa mtizamo wako wewe maisha ya sasa hivi na yale ya 2020 yapi yana unafuu au hali himilivu?? Vp kuhusu kuhusu kudaiwa kodi kwa nguvu ulipenda ile staili??

Kama Rais Samia hatokopa basi ile miradi haitokamilika.
Matajiri hawependi kulipa Kodi halisi, unafikiri wanapenda hata kutumia EFD machine?
Mengine nikipata muda nitakujibu maana huku umeme January alishauchukua.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo Sana,ndo maana unakimbilia matusi.
Watu werevu hutumia werevu wao kuelimisha,wenyewe akili ndogo,kichaka Chao ni matusi.

Tafuta saizi yako Mimi ni kitu kingine.

Alijenga hospital ngapi na JPM akapiga ngapi? tunampenda na tunamheshimu Baba yetu, takwimu hazidanganyi, ndani ya kipindi chake JPM kajenga hospitals, zahanati na vituo vya afya zaidi ya nusu ya vilivyokuepo kabla hajaingia madarakani.
Pundamilia nyie..
Sasa mnalialia tozo, hii ndio sababu yake ya kukopakopa hovyo...
Mlikuwa mnaona viini macho wakati anasema ni hela za ndani..
Sasa mlipe tozo alizowaletea huyu fwamba marehemu ili mumpende zaidi....
Lipa Tozo kama wewe ni Mzalendo..🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom