Nchi inapoongozwa na mwanajeshi kama amiri jeshi mkuu mrisho,tarajia mambo yaende kijeshi jeshi. Ukiona uchumi unalegalega,unachapisha hela nyingi. Ukiona mafuta ya petrol yanachakachuliwa unaongeza bei ya mafuta ya taa na ukiona wanafunzi wamefeli unapunguza maksi za kufaulu ili hata mwenye zero angalau apate D