usahii wa matokeo ya kidato cha nne 2012 kukamilika lini?

usahii wa matokeo ya kidato cha nne 2012 kukamilika lini?

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wana jf habar zenu! natumai wote mko good.
Wakuu nimetupia thread hii kutokana na utata uliotokea sekta hii ya elimu.
Hii imekuwa booring kwa kuwa proces mbali mbali hasa ukiangalia suala la kujisajili kwenye shule za A level za private kuingia matatani kutojua wapange vpi muda sahihi wa ukamilishaji wa process hizo.
Wakuu msaada ni kuwa baraza watakamilisha lini program hii ya mapitio ya uhakiki wa mitihani hii?
 
Matokeo sahihi yalishatoka, labda uliza matokeo ya kutengeneza yatatoka lini?
 
Nchi inapoongozwa na mwanajeshi kama amiri jeshi mkuu mrisho,tarajia mambo yaende kijeshi jeshi. Ukiona uchumi unalegalega,unachapisha hela nyingi. Ukiona mafuta ya petrol yanachakachuliwa unaongeza bei ya mafuta ya taa na ukiona wanafunzi wamefeli unapunguza maksi za kufaulu ili hata mwenye zero angalau apate D
 
Back
Top Bottom