Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Shirika linaitwa USAID Boresha afya mkuuNamimi nilikuwa nawaza hivi mkuu.
How come jamaa awadai USAID?🤔🤔
Mkuu tatizo liko wapi? Usaid ni donor tu. Hapa hahusiki moja kwa moja kwenye hii lawama ila title ya shirika ndo iko hivyohivyo na mimi sijapunguza wala kuongeza japo nuktaSio sahihi kuiweka USAID na hayo mashirika uliyoyataja.
USAID is something big.
Ndio mfadhili wa hayo uliyotaja kulingana project husika.
Mkuu tatizo liko wapi? Usaid ni donor tu. Hapa hahusiki moja kwa moja kwenye hii lawama ila title ya shirika ndo iko hivyohivyo na mimi sijapunguza wala kuongeza japo nukta
Hapana hiyo Project ya Boresha Afya imefanywa na mashirika kibao wewe ulikuwa wapi?
Mimi sikuwepo mkuuHapana hiyo Project ya Boresha Afya imefanywa na mashirika kibao wewe ulikuwa wapi?
Fhi, Egpaf, jphf n.k
Hilo ni Jina la Project, tafuta agency uliofanya nao sasa.
Anhaa...Mimi sikuwepo mkuu
Lipeni pesa sasa mungu anawaona 😃😃Anhaa...
Wewe ni yupi kati ya wale middlemen? Tujuane mkuu 😆😆Hilo ni Jina la Project, tafuta agency uliofanya nao sasa.
😀😀 sema umewadai USAID kimakosa.Lipeni pesa sasa mungu anawaona 😃😃
🤣🤣🤣 Sipo huko mkuu.Wewe ni yupi kati ya wale middlemen? Tujuane mkuu 😆😆
Na mara nyingi huwa hawafanyi kazi yoyote ile bila kuitengea hela.Shida sio hayo mashirika Amref sijui MDH Usaid
Shida Ni wabongo wanaofanya kazi Apo walioshikilia vitengo mbali mbali..! Ni wapigaji balaa unakuta mzungu asha disburse hela zaman sana.
Wanakula maisha balaa Hawa watu..!Na mara nyingi huwa hawafanyi kazi yoyote ile bila kuitengea hela.
Poa mkuu😀😀 sema umewadai USAID kimakosa.
Nahisi implementers wa Boresha Afya Southern Zone watakuwa ni FHI 360.
Google contact zao.
Muwaandikie wanaweza kuona shida yao.
Na mara nyingi huwa hawafanyi kazi yoyote ile bila kuitengea hela.
SanaWanakula maisha balaa Hawa watu..!
Sema kuna kitu umenifundisha mkuu🤣🤣🤣 Sipo huko mkuu.
Anhaa...sawa sawa!Sema kuna kitu umenifundisha mkuu
Sawa mkuu wanakuwa wako chin yake ila kweny ulipaji wa hela imekuwa ni changamoto sasa sijui kama USAID ndo anachelewa kutoa ela au hela inatolewa mapema sema labda wabongo wanafanyia kazi kwanza then ndo wanalipa watu maana suala la malipo imekuwa shida kidgo siku hiziSio sahihi kuiweka USAID na hayo mashirika uliyoyataja.
USAID is something big.
Ndio mfadhili wa hayo uliyotaja kulingana project husika.
Shida itakuwa kwa hao watekelezaji wa mradi.Sawa mkuu wanakuwa wako chin yake ila kweny ulipaji wa hela imekuwa ni changamoto sasa sijui kama USAID ndo anachelewa kutoa ela au hela inatolewa mapema sema labda wabongo wanafanyia kazi kwanza then ndo wanalipa watu maana suala la malipo imekuwa shida kidgo siku hizi