USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Unadhani Musk alikuwa mjinga alipoiita USAID ni criminal organisation?
Hawa ndiyo unaowataka waendelee kuwepo?
View attachment 3225769

View attachment 3225770

View: https://x.com/howertonjosh/status/1886765177435041808/photo/1

Kama USAID ni criminal organization kwa kutaka haki za LGBQT+ Inclusive Development policy zizingatiwe au zipewe kipaumbele basi serikali nzima ya Marekani ni criminal organization kwa sababu hiyo ilikuwa ni sera ya serikali yote ya Biden kwa taasisi zilizo ndani na nje ya Marekani. Hata serikali ya Trump ni criminal organization kwa sababu Trump amemteua waziri wa fedha, Scott Bessent ambaye ni shoga. Rais wako jana ametoka kupokea tuzo ya Gates Foundation ambao wanasapoti haki za LGBQT.
 
Kwa hiyo unaona kupromote ushoga duniani kama wanavyofanya USAID ni sawa na waendelee kupewa fedha ili wazidi kufanya hiyo kazi?
 
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
Wewe IQ yako ndogo sana, huna uwezo wa ku analyse mambo unaendeshwa na mihemuko.
 
Kwa hiyo unaona kupromote ushoga duniani kama wanavyofanya USAID ni sawa na waendelee kupewa fedha ili wazidi kufanya hiyo kazi?
Trump aanze kuonyesha mfano kwa kumfukuza waziri wake wa fedha, Scott Bessent ambaye ni shoga na akatae harusi za mashoga katika Hotel yake ya Mar-a-Lago.
 
Trump aanze kuonyesha mfano kwa kumfukuza waziri wake wa fedha, Scott Bessent ambaye ni shoga na akatae harusi za mashoga katika Hotel yake ya Mar-a-Lago.
We ni nani umpangie Trump kuwa aanze na kitu gani?. Ameanza kwa kuipiga pin hiyo USAID na anaenda kuifutilia mbali
 
Ikiwa Marekani itajiondoa katika kusaidia mataifa ya Afrika, kuna uwezekano mkubwa kwamba mataifa kama China na Urusi yataongeza ushawishi wao barani humo. Hii inaweza kubadili uwiano wa kisiasa na kiuchumi, huku mataifa ya Afrika yakigeukia nchi hizo kwa msaada wa maendeleo.

Kwa sasa, hatima ya USAID haijulikani. Wafuasi wa shirika hilo wanatoa wito kwa bunge la Marekani kuingilia kati ili kulinda programu zake, wakisisitiza kuwa misaada ya kimataifa ni muhimu si tu kwa masuala ya kibinadamu bali pia kwa maslahi ya kimkakati ya Marekani duniani
China hana roho hiyo
 
Russia iliwahi kumsaidia nani wakati hapa suala sio kutoa msaada wa AK 47 bali ni msaada wa kimaendeleo.

China naye hana cha msaada bali yeye ni kutoa mikopo umiza na ndio maana mataifa kama Kenya, Zambia, Sri Lanka ni vilio tu.
Yes! Wewe kweli umeongea uhalisia ulivyo
 
Sio suala kuhusu wa Africa tu hii iliundwa kufanya kazi za kijasusi za kimarekani kwa kutumia misaada lakini kukiwa na egenda za USA, haikuwa shirika la kutoa tu ila miaka hiyo imetumika kufanya mambo mengi tu yako mazuri na mabaya. Ziko hata baadhi ya taasisi vidogo hata hapa kwetu wanatoa misaada lakini wana malengo mengine pia ziko mpaka taasisi za hawa LGBT misaada na agenda zao. Iko haja ya watu kusoma history why shirika lilianzishwa?
Watu ni wajinga Wana kwenda kwenda tu Yaani Hao ni LGBTQ agenda 💯% na Trump aliapa kupinga Sera za LGBTQ so anaona kabisa hawezi kuzuia Hiyo Sera mean while USAID ikiwa kama ndio chombo kikuu kinacho Tumika kupush hizo agenda kikiwa bado Kipo active, So kama Fanya Jambo la maana Sana kwaajili ya kukopa dunia kuweza kutawaliwa na ushetani zaidi , siwezi kusema kwamba Trump ni Mtu mwema Sana lakini Kwa hili atleast nampa pongezi
 
Na kilichomkasirisha zaidi Trump kuwa USAID walisaidia wana siasa wa mlengo wa kushoto millions of dollar kwenye uchaguzi ambao walikuwa wana support hawa jamaa.
 
Mwaka juzi tu Urusi ametoka kusamehe deni la zaidi ya $bilion 20 kwa nchi za Afrika ,sasa sijui hizo hela zote walikopa kwa ajili ya Ak47?
Hata hivyo Urusi awasaidie kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi kujenga nchi zenu?
Yaani Urusi iwakamue kodi raia wake kwa ajili ya kuwahudumia nyinyi ,hali yakuwa nyinyi kodi zenu mnanunulia,magoli, ma v8 ya mabilion kila mwaka na kuiba kupeleka Uswizi?
Huo upumbavu Urusi hawezi ufanya maana alisha ufanya huko nyuma uka mgharimu na kusababisha soviet kuanguka.
Hivi Ofisi za Shirika la Misaada la Serikali ya Urusi ziko wapi hasa kwa hapa Tanzania?
 
USAID ni sehemu ya network ya ujasusi ya Marekani.

Trump na wafanyabiashara wenzake kina Musk wanafikiri kila kitu ni suala la biashara na miamala ya pesa ya moja kwa moja (transactional governance). Siamini sana kama ni wajinga kiasi cha kutojua miundombinu ya kimkakati (strategic framework) inayoimarisha Marekani kuwa super power duniani.

Nadhani wanatikisa kiberiti tu na kujifurahisha kuhusu nguvu ya Marekani waliyo nayo mikononi mwao hivi sasa. Wakibweka kidogo, dunia inatetemeka wao wanasikia burdani tupu!

Huwezi kuiondoa USAID. Kwa mfano zile data za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiulinzi za nchi mbali mbali zinazokusanywa na CIA zinapatikanaje?

Leo hii State Department ya Marekani wanaweza kukutajia hata idadi ya mashoga nchini kwako kwa usahihi wa >70%. Wana hata majina ya wadau maarufu (notable personalities) katika sekta hiyo nchini. Wana kompromats kibao za viongozi na wanasiasa wetu wanazotumia kuwaweka sawa wasikwamishe maslahi ya Marekani. Wanasiasa wetu wanapopanda majukwaani na kubweka propaganda zao, Marekani wanawasanifu kwa mbali almuradi hawatishii maslahi yao.

Halafu mtu aje na ujinga wa kuifuta USAID? Won’t happen.

ARV, madawa, kinga na chanjo muhimu vitaendelea kutolewa tu. Watu wa Marekani wanakula bata na kuzurura dunia nzima. Ni muhimu kwao kupunguza maambukizi duniani kote - kwa maslahi yao pia. Hiyo pesa inarudi mara kadhaa kwa dhulma kibao wanazofanya duniani.
Huo ulioandika ndiyo ukweli wenyewe. Wanaweza kuibadilisha jina tu. Ika hakuna USA bila shughuli za shirika hilo la USAID
 
Na mradi gani wa ushoga uliokuwa unafadhiliwa na USAID Tanzania? Ulikuwa unapewa shillingi ngapi? Uliruhusiwaje na serikali ya Tanzania ambayo inapinga ushoga?
Uliza wafanyakazi wa MDH pale Mikocheni, walikuwa wanasambaza mafuta ya kulainisha mikundu ya mashoga kabla hawajaingiliwa
 
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.

Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.

JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Kwamba wanatupenda sana ama kuna kitu wanafaidika.
 
Back
Top Bottom