Traveller TM
Member
- May 6, 2024
- 45
- 77
Maafrika bure kabisa kichwani, yani badala ya kujadili mikakati ya kusimamia rasilimali zetu tunawaza jinsi watawala mpya mchina na mrusi watavyotutawala baada ya USA kutunyima misaada!Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
Labda haujaelewa au umeamua kukwepa lengo la hoja yanguKuna tatizo gani mtu akinufaika na misadda anayokupa??
Sio suala kuhusu wa Africa tu hii iliundwa kufanya kazi za kijasusi za kimarekani kwa kutumia misaada lakini kukiwa na egenda za USA, haikuwa shirika la kutoa tu ila miaka hiyo imetumika kufanya mambo mengi tu yako mazuri na mabaya. Ziko hata baadhi ya taasisi vidogo hata hapa kwetu wanatoa misaada lakini wana malengo mengine pia ziko mpaka taasisi za hawa LGBT misaada na agenda zao. Iko haja ya watu kusoma history why shirika lilianzishwa?
Hahahaha 😆😆😆😆imeandikwa: "Mkubwa atamtumikia mdogo"
tunaishi duniani kwa kutegemeana!
“aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo.”Hahahaha 😆😆😆😆
TAZARA imejengwa na Mchina. Kuna miradi mingi na hasa viwanda vimejengwa na Mrusi na Mchina kipindi cha ujamaa.Mbona zinatafutwa kwa tochi, hiyo ilikua kwenye karne gani.
Hili andiko nalijua sanaa ndiyo maana nimeishia kucheka tu“aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo.
”
— Warumi 9:12 (Biblia Takatifu)
Alaaa kumbe !!! So walitumia pesa za walipa Kodi vibaya kumbe ndio maana kime walambaNa kilichomkasirisha zaidi Trump kuwa USAID walisaidia wana siasa wa mlengo wa kushoto millions of dollar kwenye uchaguzi ambao walikuwa wana support hawa jamaa.
Hivyo vilikuwa ni vitu vidogo sana.TAZARA imejengwa na Mchina. Kuna miradi mingi na hasa viwanda vimejengwa na Mrusi na Mchina kipindi cha ujamaa.
Mkuu, mimi huwa siendi kinyume na genetic plan. Most of Africans are idiots maybe ukiwemo ww pia. Siwezi kufikiria mambo ya nchi ya kusadikika hapa, na huo ndio ukweli, tusubiri tu kutawaliwa tena. Ww hakikisha tu unaweza tawala familia yako mengine waachie wazunguMaafrika bure kabisa kichwani, yani badala ya kujadili mikakati ya kusimamia rasilimali zetu tunawaza jinsi watawala mpya mchina na mrusi watavyotutawala baada ya USA kutunyima misaada!
Huwezi kujitegemea wakati una watu wanaopora pesa na kwenda kuzificha tena hukohuko zinakotoka halafu mnakuja kutafuta mchawi.Wamarekani wanafanya vitu kwa maslahi ya nchi yao, dawa ni kujitegemea na kuacha matumizi ya anasa.
Kama watu wanaficha pesa ndio nchi iendeshwe kwa misaada ya USAID.Huwezi kujitegemea wakati una watu wanaopora pesa na kwenda kuzificha tena hukohuko zinakotoka halafu mnakuja kutafuta mchawi.
Uko sahihi Mkuu, lakini tutambue mabadiliko yanaanza na wewe, amini tofauti. Mimi naamini kwa resources tulizonazo tunaweza kufanya biashara na hao wachina na warusi. Na sio kuwaruhusu kutusaidia kiasi cha kwamba na wao wanafanya shughuki za kawaida kabisa za mtanzania ambae hana ajira rasmi achilia mbali ambae hajasoma. Chinese are the worse donors and investors, nimeona migodi ya kichina, ni uku***a, hawajali kitu zaidi ya kumtumikisha mwafrika wao wapate faida zaidi, hivyo hivyo kwenye viwanda vya kichina. Kwa hiyo kwa mtazamo wangu hatutakiwi hata kuwafikiria, tunatakiwa tufikiri rasilimali zetu tunazitumia vipi? CCM imefeli ndio maana tunafikiri mbadala wa USA ni China! Wametufanya tufikiri hivyo, CCM wanatufanya tufikiri hatuwezi na tunahitaji sana msaada, lakini viongozi wanatumia ndinga za milioni 300+! Mwananchi ndio anaaminishwa hatuwezi, f×@ck chama cha majambaziMkuu, mimi huwa siendi kinyume na genetic plan. Most of Africans are idiots maybe ukiwemo ww pia. Siwezi kufikiria mambo ya nchi ya kusadikika hapa, na huo ndio ukweli, tusubiri tu kutawaliwa tena. Ww hakikisha tu unaweza tawala familia yako mengine waachie wazungu
Mleta mada unaonyesha jinsi gani ulivyo mjingaHili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Niliposema hakikisha familia yako unaiongoza sikumaanisha familia tu ya nyumbani.Uko sahihi Mkuu, lakini tutambue mabadiliko yanaanza na wewe, amini tofauti. Mimi naamini kwa resources tulizonazo tunaweza kufanya biashara na hao wachina na warusi. Na sio kuwaruhusu kutusaidia kiasi cha kwamba na wao wanafanya shughuki za kawaida kabisa za mtanzania ambae hana ajira rasmi achilia mbali ambae hajasoma. Chinese are the worse donors and investors, nimeona migodi ya kichina, ni uku***a, hawajali kitu zaidi ya kumtumikisha mwafrika wao wapate faida zaidi, hivyo hivyo kwenye viwanda vya kichina. Kwa hiyo kwa mtazamo wangu hatutakiwi hata kuwafikiria, tunatakiwa tufikiri rasilimali zetu tunazitumia vipi? CCM imefeli ndio maana tunafikiri mbadala wa USA ni China! Wametufanya tufikiri hivyo, CCM wanatufanya tufikiri hatuwezi na tunahitaji sana msaada, lakini viongozi wanatumia ndinga za milioni 300+! Mwananchi ndio anaaminishwa hatuwezi, f×@ck chama cha majambazi