USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Wakuu tuelewe kuwa Usaid haipo hapa Kwa ajili ya interest ya Africa tu ni kwa ajili ya Interest za hao wamarekani pia leo tumekuwa Tunapewa misaada ya Vitu petty sana kama Vyandarua ila In return mnalipa kwa Maelewano na Vitu ambayo Ni resources kama madini, Ivo ichi anachofanya Marekani ni Kujiondolea ushawishi africa na Wenzie Ma giant wata take lead na Kuwa na influence kubwa na Africa na watachukua Vitu vya africa
 
Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
Maafrika bure kabisa kichwani, yani badala ya kujadili mikakati ya kusimamia rasilimali zetu tunawaza jinsi watawala mpya mchina na mrusi watavyotutawala baada ya USA kutunyima misaada!
 
Uvivu tu wa kulima, sasa wanang’ang’ania kodi za wamarekani ni baba zao? 😹😹😹

Trump asikubali atekeleze alichowaahidi wapiga kura wake… miafrika tujitegemee..!!
 
Sio suala kuhusu wa Africa tu hii iliundwa kufanya kazi za kijasusi za kimarekani kwa kutumia misaada lakini kukiwa na egenda za USA, haikuwa shirika la kutoa tu ila miaka hiyo imetumika kufanya mambo mengi tu yako mazuri na mabaya. Ziko hata baadhi ya taasisi vidogo hata hapa kwetu wanatoa misaada lakini wana malengo mengine pia ziko mpaka taasisi za hawa LGBT misaada na agenda zao. Iko haja ya watu kusoma history why shirika lilianzishwa?
imeandikwa: "Mkubwa atamtumikia mdogo"

tunaishi duniani kwa kutegemeana!
Hahahaha 😆😆😆😆
 
TAZARA imejengwa na Mchina. Kuna miradi mingi na hasa viwanda vimejengwa na Mrusi na Mchina kipindi cha ujamaa.
Hivyo vilikuwa ni vitu vidogo sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20250204-220119.jpg
    Screenshot_20250204-220119.jpg
    308.5 KB · Views: 1
Maafrika bure kabisa kichwani, yani badala ya kujadili mikakati ya kusimamia rasilimali zetu tunawaza jinsi watawala mpya mchina na mrusi watavyotutawala baada ya USA kutunyima misaada!
Mkuu, mimi huwa siendi kinyume na genetic plan. Most of Africans are idiots maybe ukiwemo ww pia. Siwezi kufikiria mambo ya nchi ya kusadikika hapa, na huo ndio ukweli, tusubiri tu kutawaliwa tena. Ww hakikisha tu unaweza tawala familia yako mengine waachie wazungu
 
Huwezi kujitegemea wakati una watu wanaopora pesa na kwenda kuzificha tena hukohuko zinakotoka halafu mnakuja kutafuta mchawi.
Kama watu wanaficha pesa ndio nchi iendeshwe kwa misaada ya USAID.
Trump amefanya sahihi maana anajua viongozi wenu wanaficha pesa nje halafu Kodi za wananchi wake ndio mnataka ziwasaidie
 
Mkuu, mimi huwa siendi kinyume na genetic plan. Most of Africans are idiots maybe ukiwemo ww pia. Siwezi kufikiria mambo ya nchi ya kusadikika hapa, na huo ndio ukweli, tusubiri tu kutawaliwa tena. Ww hakikisha tu unaweza tawala familia yako mengine waachie wazungu
Uko sahihi Mkuu, lakini tutambue mabadiliko yanaanza na wewe, amini tofauti. Mimi naamini kwa resources tulizonazo tunaweza kufanya biashara na hao wachina na warusi. Na sio kuwaruhusu kutusaidia kiasi cha kwamba na wao wanafanya shughuki za kawaida kabisa za mtanzania ambae hana ajira rasmi achilia mbali ambae hajasoma. Chinese are the worse donors and investors, nimeona migodi ya kichina, ni uku***a, hawajali kitu zaidi ya kumtumikisha mwafrika wao wapate faida zaidi, hivyo hivyo kwenye viwanda vya kichina. Kwa hiyo kwa mtazamo wangu hatutakiwi hata kuwafikiria, tunatakiwa tufikiri rasilimali zetu tunazitumia vipi? CCM imefeli ndio maana tunafikiri mbadala wa USA ni China! Wametufanya tufikiri hivyo, CCM wanatufanya tufikiri hatuwezi na tunahitaji sana msaada, lakini viongozi wanatumia ndinga za milioni 300+! Mwananchi ndio anaaminishwa hatuwezi, f×@ck chama cha majambazi
 
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.

Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.

JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Mleta mada unaonyesha jinsi gani ulivyo mjinga
 
Uko sahihi Mkuu, lakini tutambue mabadiliko yanaanza na wewe, amini tofauti. Mimi naamini kwa resources tulizonazo tunaweza kufanya biashara na hao wachina na warusi. Na sio kuwaruhusu kutusaidia kiasi cha kwamba na wao wanafanya shughuki za kawaida kabisa za mtanzania ambae hana ajira rasmi achilia mbali ambae hajasoma. Chinese are the worse donors and investors, nimeona migodi ya kichina, ni uku***a, hawajali kitu zaidi ya kumtumikisha mwafrika wao wapate faida zaidi, hivyo hivyo kwenye viwanda vya kichina. Kwa hiyo kwa mtazamo wangu hatutakiwi hata kuwafikiria, tunatakiwa tufikiri rasilimali zetu tunazitumia vipi? CCM imefeli ndio maana tunafikiri mbadala wa USA ni China! Wametufanya tufikiri hivyo, CCM wanatufanya tufikiri hatuwezi na tunahitaji sana msaada, lakini viongozi wanatumia ndinga za milioni 300+! Mwananchi ndio anaaminishwa hatuwezi, f×@ck chama cha majambazi
Niliposema hakikisha familia yako unaiongoza sikumaanisha familia tu ya nyumbani.

Kama wewe una mtazamo huo na una uwezo basi fungua kampuni yako fanya kazi na hao.

Nawajua watanzania kibao tu ambao wakikaa chini na wazungu au wachina kuongea biashara wachina/wazungu wananywea.

Mfano easy tu, huyu billionea anaetrend na godlove yeye ana kampuni ya silaha inauza silaha hadi ulaya ila ni mtanzania.

Hivyo anza na vilivyo vyako na vilivyo karibu na ww kwanza(your family) Ukisubiri eti uwafanyie liberation hao watanzania wenzako waliopo migodini utachelewa sana, na actually hawahitaji msaada wako, haujaona leo wamejimwagia matope na kupita mbele ya raisi na raisi anafurahi tu. Hao ni wa matopeni mzee, ukiwatoa unawaonea ukidhan unawasaidia
 
Back
Top Bottom